Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,858
- 183,116
Wacha bwana!!!Endless
Wacha bwana!!!Endless
Natafuta njia labda naweza kupata nafasi ya kudaka choziMwenza umeamua kuwa muhubiri?[emoji1787]
Single or single single[emoji85][emoji85]Complicated
Complicated
@kaboom ukuje hapa, nilikwambia wewe ni bomu. Unaona Sasa?Disaster
PambanaNatafuta njia labda naweza kupata nafasi ya kudaka chozi
@kaboom ukuje hapa, nilikwambia wewe ni bomu. Unaona Sasa?
Whaaaat ??Disaster
Sijui kwanini nilivyoona notification ya quote yako nilianza kucheka hata kabla sijaifungua. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wacha bwana!!!
Babe hujambo, nimeona umeuchuna haieleweki niko single au in relationshipWhaaaat ??
Baby umepanda bei.. Nakuona tu unadanga tu kwenye majukwaa. Hadi natamani nikutafutie mchepukoBabe hujambo, nimeona umeuchuna haieleweki niko single au in relationship
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sijui kwanini nilivyoona notification ya quote yako nilianza kucheka hata kabla sijaifungua. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utakatifu ndo hauwezi kumfanya awe 'stressful'? maana atakumbana na changamoto na majaribu...Pole, sasa hivi jikite kwenye kutafuta utakatifu kwanza
Sio hivyo bwana, wasiwasi wako tuBaby umepanda bei.. Nakuona tu unadanga tu kwenye majukwaa. Hadi natamani nikutafutie mchepuko