Define kuolewa

Define kuolewa

Unaipeleka mijadala yako kama ligi bidada....
Samahani, ila mi sihitaji kujua yote hayo, hyo quote yangu uliyochukua haikukulenga wewe!
Mwisho wa siku unachokieleza ni mtazamo wako ambao unaweza usipenye sana kwa jamii ya huku nyumbani ambapo suala kutengeneza kipato kikubwa linazingirwa na changamoto nyingi sana,
kwa kuwa ukweli ni kuwa maisha yanaendelea mtu hawezi kuacha kuvuta binti mrembo wanayependana kwa kigezo eti hana kitu flani...
Hapana huku nyumbani hali haipo hvyo dada,

-huku mabinti wanahamia kwenye geto la mshkaji na kulazimisha ndoa, sababu ndoa ndio heshima ya mabinti.

-Huku nyumbani mabinti wetu warembo wanaamini katika utu na si vitu, ndio maana wanahamia geto kwa mshkaji toka ana katv ka black n' white lakini wanajenga familia pamoja mpaka wanakuwa na maduka yao kariakoo na biashara kubwa

-Huku nyumbani mabinti wetu warembo wanaamini mafanikio ya mwanadamu yanapangwa na Mungu pamoja na juhudi binafsi, ndio maana hawana huo utaratibu wa kumuhukumu mwanaume kwa namna anavyoonekana leo sababu wanajua kesho anayo Mungu.

Hivyo utaona kuwa aina ya mawazo yako yanawakilisha aina ya kundi la wanawake linalobakia baada ya kutoa hao wanawake wa huku kwetu.

Hongera kwa hilo ghorofa la mbezi beach.... lol
huyu ni ms kimambi mwingine kasoro blog ya mapicha-picha.
 
Hakuna mateso wala nini Natalia! Mume wangu ana maisha mazuri baada ya kuoa. Stress zinaweza kuja tu hata kama mna pesa kiasi gani. Pesa sio kila kitu na wala si guarantee ya kuwa na ndoa yenye furaha. Mnaweza kuwa na pesa ya kuwatosha lakini msiwe na furaha.
mi nilisema hapa ni wewe tu ndo unaweza kuongea na huyu bibie!
 
mi nilisema hapa ni wewe tu ndo unaweza kuongea na huyu bibie!

Hata mie bora niishie zangu mitaa mingine. Unadhani Natalia huwa anaelewa basi? Nakwambia labda King'asti aje na vile vibomu vyake vya taratibu atamuelewa.
 
Last edited by a moderator:
Hayo mengine sio issue me kinachonibore ni mahari! Kwanini nikinunue kwa mahari? NyumbA na kilA kitu atapata but mahari sitoi....

Ati nini?Hutoi mahari?Kwa sababu gani?Kwani unaoa dada yako?Sasa usipotoa mahari nani ndiyo anakuwa kichwa cha nyumba?Mahari iwepo resonable siyo ile ya kufanya kama unamuuza binti.Iwe tu just to symbolize certain mila.Ila siyo bure kabisa aisee!Hata pini tu toa!
 
Vijana kabla hamjakurupuka kutaka kuishi na watoto wa watu kuoa muelewe maana ya mwanamke kuolewa.Heshima **** itapungua pale mkeo uliyemuoa anapoanza kukopa pesa na hata kuomba chumvi.kama huwezi kujivalisha huna haja yakuoa,Kama huwezi kulipa bills huna haja ya kuoa.Jikamilisheni kabla huja guarantee ya kumhudumia mwanamke .Life is very simple live according kwa income .Unaoa baada ya week unakuja na idea ya kujenga nyumba wote .Mwanaume wa maana Unaoa unanyumba ya kumweka mwanamke.umaskini utapungua sana .Date sio lazima uoe

Una akili kama vile ulizaliwa KWA OPERATION MTOTO WEYE
 
Hayo mengine sio issue me kinachonibore ni mahari! Kwanini nikinunue kwa mahari? NyumbA na kilA kitu atapata but mahari sitoi....

thus y ur masculine fit and we are not...lazima mtafute kwa shida, we bear children for u na hatupokezani, we give you eternal love, dat gives u energy to wake up smiling everyday and fight for life...wat else do u nid?
 
Unazaa uko nyumba umepanga chumba kimoja.choo kimoja wapangaji 10 na 6 Kati ya hap H.I.V positive .maisha gani ya kuolewa hayo .Hapo ndio unajiona umeolewa

Ndio maisha hayo ya kibongo..Na kila siku watu wanahangaika kuvuta maguta ili wale..Ni tofauti na marekani..Kila mtu akiolewa na tajiri basi masikini wataoa nani?
 
Haya, ushauri wako umefika. Na nikiwa na hicho kitega uchumi, nitaoa na kuacha sana, nyumba si yangu?
 
Hakuna mateso wala nini Natalia! Mume wangu ana maisha mazuri baada ya kuoa. Stress zinaweza kuja tu hata kama mna pesa kiasi gani. Pesa sio kila kitu na wala si guarantee ya kuwa na ndoa yenye furaha. Mnaweza kuwa na pesa ya kuwatosha lakini msiwe na furaha.
Hayo ni mwawazo ya Mtu maskini
 
Last edited by a moderator:
Hayo ni mwawazo ya Mtu maskini

Kwa hiyo kwa kuweka kwako pesa mbele katika mapenzi na ndoa ndio unadhani ni mawazo ya mtu tajiri? Matajiri wangapi wamekuwa na ndoa chungu na kuishia kutalikiana? Kwanini hizo pesa zao zisidumishe ndoa zao? Hebu nisome vizuri unielewe. Sijasema pesa haitakiwi la hasha! Nimesema pesa si guarantee ya kuwa na ndoa yenye furaha. Kichwa kinauma, duh! snowhite ulifanya la maana kutochangia huu uzi.
 
Hayo mengine sio issue me kinachonibore ni mahari! Kwanini nikinunue kwa mahari? NyumbA na kilA kitu atapata but mahari sitoi....

hee we mkali tafuta mhindi mapemaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa utatolewa tu hiyo mahal,actual ,mahali c pesa ya kumnunulia mkeo coz by any mins huwez lipa gharama walizotumia wazazi wake kumlea
 
nimekupenda jounegwalu kwa kuonyesha kutuelewa mabnti wa huku unapopaita kwenu, bt don tek advantage to mistreat them
 
Kwa hiyo kwa kuweka kwako pesa mbele katika mapenzi na ndoa ndio unadhani ni mawazo ya mtu tajiri? Matajiri wangapi wamekuwa na ndoa chungu na kuishia kutalikiana? Kwanini hizo pesa zao zisidumishe ndoa zao? Hebu nisome vizuri unielewe. Sijasema pesa haitakiwi la hasha! Nimesema pesa si guarantee ya kuwa na ndoa yenye furaha. Kichwa kinauma, duh! snowhite ulifanya la maana kutochangia huu uzi.

Mwajay ,Natalia is exceptional leaving in ideal lyf so stop kubishana nae, utachokaaaa, chezeiya majuu wewe
 
Kwa hiyo kwa kuweka kwako pesa mbele katika mapenzi na ndoa ndio unadhani ni mawazo ya mtu tajiri? Matajiri wangapi wamekuwa na ndoa chungu na kuishia kutalikiana? Kwanini hizo pesa zao zisidumishe ndoa zao? Hebu nisome vizuri unielewe. Sijasema pesa haitakiwi la hasha! Nimesema pesa si guarantee ya kuwa na ndoa yenye furaha. Kichwa kinauma, duh! snowhite ulifanya la maana kutochangia huu uzi.
2012 plastic surgery and breast implant.
 
Na itakuta unaishi kimaskini sana huko ulipo you have two house in NY and CT hahahahahahhahahaha hizi nyumba mbili zinakupa kiburio mpaka utukane huku kaka zetu maskini wewe mtoto wewe cku ukitua bongo njoo nikuonyeshe jumba la zaid ya mil mia nililojenga na mume wangu na tulioana kwenye nyumba yakupanga **** wewe Mwa J mpotezee huyu snowhite pole my dada
 
Last edited by a moderator:
Totally agree with you. Wengine wakiwa wenyewe tu bills zalipwa kwa mbinde afu huyo huyo ajishaua kutaka kuoa, sijui ana expect waishije sasa. I never understand such people
 
Na itakuta unaishi kimaskini sana huko ulipo you have two house in NY and CT hahahahahahhahahaha hizi nyumba mbili zinakupa kiburio mpaka utukane huku kaka zetu maskini wewe mtoto wewe cku ukitua bongo njoo nikuonyeshe jumba la zaid ya mil mia nililojenga na mume wangu na tulioana kwenye nyumba yakupanga **** wewe Mwa J mpotezee huyu snowhite pole my dada
Umejenga na mume .langu Mimi mwenyewe nimejenga my house is worth 500 million ya Tz na yupo mbwa na mlinzi.Sina haja ya kupangisha ,na I have two houses more one was my wedding gift na nyingine nilipewa zawadi with my mummy. Usishindane na watoto wa mafisadi utalala na njaa na Kufia muhimbili.mashauzi yanahitaji pesaaaaa .your hubby used you
 
Last edited by a moderator:
Na itakuta unaishi kimaskini sana huko ulipo you have two house in NY and CT hahahahahahhahahaha hizi nyumba mbili zinakupa kiburio mpaka utukane huku kaka zetu maskini wewe mtoto wewe cku ukitua bongo njoo nikuonyeshe jumba la zaid ya mil mia nililojenga na mume wangu na tulioana kwenye nyumba yakupanga **** wewe Mwa J mpotezee huyu snowhite pole my dada
Chezea mtoto wa fisadi na the wife of Dr Rutherford
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom