Define kuolewa

Define kuolewa

Kwa nini unafikiri mwanamke ndo ahudumiwe? Huoni unamshusha hadhi kwa kumuweka katika hali ya udhaifu wa kuhudumiwa tu?
 
Na utupe na uzoefu kutoka kwa Baba Susy!
Alijenga nyumba ngapi kabla ya kubeba jumla lol

Nimeolewa na mume mwenye nyumba (no mortgage) wazazi wangu walinipa zawadi nyumba na nimejenga yangu bongo Mbezi beach,it builds independent with in marriage.i wish wanawake mngekuwa mnachoice nzuri na wanaume mngekuwa mna nyumba kwanza .ili mkioana pesa yenu saving mnaishi na interest tu .ndoa inapendeza ukiwa na pesa
 
Kuolewa;Definition :
To leave evrythng behind including freedom, opportunities, ur family, clan, some of ur frnds,......,and start ol over with one person frm another world (family ), whom u really love and happily agree to share the rest of ur life with.
He don't have to hv a house or a car. I thnk hayo yananoga zaidi mkitafuta pamoja l. I mean mkianza from the scratch mtakua much more stronger kuliko ukute kila kitu 'ready made'.
Huo ni mtazamo tu....
Yote uliyoyasema nimeyakubali But to other side of the coins.......kuolewa ni utumwa!!Na hasa kwa dini zingine(Waislam)Makabila mengine(Waarabu) ndo usiseme wewe House girl au zaidi ya House girl kwa kuwa wewe nichombo chakuleta binadamu duniani Pemba mwanamke haende hata sokoni yeye kazi yake ni hii..........basi!
 
Kwa nini unafikiri mwanamke ndo ahudumiwe? Huoni unamshusha hadhi kwa kumuweka katika hali ya udhaifu wa kuhudumiwa tu?

Mwanamke pesa yake Ni shopping and to have fun ,imagine pesa yenu iko saving .mwanamke kuolewa yenyewe Ni full time job
 
Yote uliyoyasema nimeyakubali But to other side of the coins.......kuolewa ni utumwa!!Na hasa kwa dini zingine(Waislam)Makabila mengine(Waarabu) ndo usiseme wewe House girl au zaidi ya House girl kwa kuwa wewe nichombo chakuleta binadamu duniani Pemba mwanamke haende hata sokoni yeye kazi yake ni hii..........basi!
Hawo wanaume Ni mental ill wana low self esteem controlling and psychopath.They want to dominate and control somebody and some women fall for it .Hapo tanzania kuna watu mpaka Leo wanapigwa na partner zao .its anger and insecurity.They use anger to cover their insecurity by intimidation .well life is about choices
 
Mwanamke pesa yake Ni shopping and to have fun ,imagine pesa yenu iko saving .mwanamke kuolewa yenyewe Ni full time job

Hilo sio swali lililoulizwa, swali halikuwa kuhusu pesa za mwanamke kazi yake nini.

Swali lilikuwa kwa nini unamfanya mwanamke kuwa ni mtu wa kuhudumiwa tu kama kilema asiye na uwezo?
 
Tatizo unataka kujenga nyumba ya ghorofa kushindana na bosi wako

Nyumba yeyote ile yenye hadhi ya nyumba, ni garama sana kuijenga maeneo ya mjini. It needs time, kwahiyo mara
nyingi tunaingia kwenye nyumba zetu wenyewe, tunapofikia 50 or above!
Labda uwe ama FISADI, UNGAMAN, FREEMASOON..... hapo hauna shida kabisa!!
 
mi naomba nisichangie huu uzi!nina maslahi binasfi!muulizeni mwaJ na King'asti
 
Last edited by a moderator:
Mimi sijaolewa bt I GOT A COMFESSION TO MAKE!!!!!!!!!!! I aint like other women falling in love with the prince charming!!!!!! I usualy FALL IN LOVE WITH THE CASTLE!!!!!!!!!! I aint braging abt it bt at least ITS REASONABLE!!!!!!!!! Siku nikifurumushwa, nikiwa narevew kwanini nilienda pale kwa kuanzia jibu ni Simple!!!!!!!
 
Ndo maana kuoa tabu. Golddigging inapasishwa kabisa, bila hata kuificha.

I am torn between admiring the honesty and deploring the crass materialism.
 
Vijana kabla hamjakurupuka kutaka kuishi na watoto wa watu kuoa muelewe maana ya mwanamke kuolewa.Heshima **** itapungua pale mkeo uliyemuoa anapoanza kukopa pesa na hata kuomba chumvi.kama huwezi kujivalisha huna haja yakuoa,Kama huwezi kulipa bills huna haja ya kuoa.Jikamilisheni kabla huja guarantee ya kumhudumia mwanamke .Life is very simple live according kwa income .Unaoa baada ya week unakuja na idea ya kujenga nyumba wote .Mwanaume wa maana Unaoa unanyumba ya kumweka mwanamke.umaskini utapungua sana .Date sio lazima uoe

Natalia vp huko uliko leo baridi imezidi kiwango?! Maana kama kukurupuka hii ni zaidi ya gari kukata breki mlima kitonga mwanangu! Wazo lako haliuziki kajipange.
 
Nimeolewa na mume mwenye nyumba (no mortgage) wazazi wangu walinipa zawadi nyumba na nimejenga yangu bongo Mbezi beach,it builds independent with in marriage.i wish wanawake mngekuwa mnachoice nzuri na wanaume mngekuwa mna nyumba kwanza .ili mkioana pesa yenu saving mnaishi na interest tu .ndoa inapendeza ukiwa na pesa

Unaipeleka mijadala yako kama ligi bidada....
Samahani, ila mi sihitaji kujua yote hayo, hyo quote yangu uliyochukua haikukulenga wewe!
Mwisho wa siku unachokieleza ni mtazamo wako ambao unaweza usipenye sana kwa jamii ya huku nyumbani ambapo suala kutengeneza kipato kikubwa linazingirwa na changamoto nyingi sana,
kwa kuwa ukweli ni kuwa maisha yanaendelea mtu hawezi kuacha kuvuta binti mrembo wanayependana kwa kigezo eti hana kitu flani...
Hapana huku nyumbani hali haipo hvyo dada,

-huku mabinti wanahamia kwenye geto la mshkaji na kulazimisha ndoa, sababu ndoa ndio heshima ya mabinti.

-Huku nyumbani mabinti wetu warembo wanaamini katika utu na si vitu, ndio maana wanahamia geto kwa mshkaji toka ana katv ka black n' white lakini wanajenga familia pamoja mpaka wanakuwa na maduka yao kariakoo na biashara kubwa

-Huku nyumbani mabinti wetu warembo wanaamini mafanikio ya mwanadamu yanapangwa na Mungu pamoja na juhudi binafsi, ndio maana hawana huo utaratibu wa kumuhukumu mwanaume kwa namna anavyoonekana leo sababu wanajua kesho anayo Mungu.

Hivyo utaona kuwa aina ya mawazo yako yanawakilisha aina ya kundi la wanawake linalobakia baada ya kutoa hao wanawake wa huku kwetu.

Hongera kwa hilo ghorofa la mbezi beach.... lol
 
Utapata stress na matatizo .ushawahi kuona Mtu Ana maisha mazuri baada ya ndoa tu mateso

Hakuna mateso wala nini Natalia! Mume wangu ana maisha mazuri baada ya kuoa. Stress zinaweza kuja tu hata kama mna pesa kiasi gani. Pesa sio kila kitu na wala si guarantee ya kuwa na ndoa yenye furaha. Mnaweza kuwa na pesa ya kuwatosha lakini msiwe na furaha.
 
Last edited by a moderator:
Ni heri uzeeke bila lawama na retirement funds .mtu unakufa unaacha mke asiyejiweza watoto hiyo future italiwaje.Mwanaume akifa mwanamke anatupiwa vitu nje mikopo kibao.Relax you can't afford marriage life be single and date

Na kwanini mke asijiweze? Kwanini wewe kama mke ukae tu eti unategemea mume akuletee kila kitu? Hayo ni mawazo ya kizamani sana. Inabidi wanawake wabadilike.
 
Mawazo yako ni mazuri, Natalia nadhani hajui maugumu ya kujenga nyumba mjini!

Muhimu ni kwamba muoaji/muolewaji inabidi awe na kazi na sehemu ya kuishi. Nyumba ni added advantage !!

Natalia anaishi kwenye ulimwengu wake na mitazamo yake ni tofauti na watu wengine!
 
Ndo maana kuoa tabu. Golddigging inapasishwa kabisa, bila hata kuificha.

I am torn between admiring the honesty and deploring the crass materialism.
Kaka huu ndio ukweli.wanawake wote tunapenda pesa that the bottom line ukiona mwanamke wako hapendi pesa huyo anapata kwingine
 
Natalia vp huko uliko leo baridi imezidi kiwango?! Maana kama kukurupuka hii ni zaidi ya gari kukata breki mlima kitonga mwanangu! Wazo lako haliuziki kajipange.
Hamna nafundishwa kutengeneza turkey dressing ,Natalia kupika sijui na kesho ninawageni thanksgiving.huwaga tunakula kwa mama mkwe .mama mkwe anaumwa.yaani sijui kupika nitakoma ubishi natumia I phone wifi yangu yupo hapo anachanganya vitu.
 
Unaipeleka mijadala yako kama ligi bidada....
Samahani, ila mi sihitaji kujua yote hayo, hyo quote yangu uliyochukua haikukulenga wewe!
Mwisho wa siku unachokieleza ni mtazamo wako ambao unaweza usipenye sana kwa jamii ya huku nyumbani ambapo suala kutengeneza kipato kikubwa linazingirwa na changamoto nyingi sana,
kwa kuwa ukweli ni kuwa maisha yanaendelea mtu hawezi kuacha kuvuta binti mrembo wanayependana kwa kigezo eti hana kitu flani...
Hapana huku nyumbani hali haipo hvyo dada,

-huku mabinti wanahamia kwenye geto la mshkaji na kulazimisha ndoa, sababu ndoa ndio heshima ya mabinti.

-Huku nyumbani mabinti wetu warembo wanaamini katika utu na si vitu, ndio maana wanahamia geto kwa mshkaji toka ana katv ka black n' white lakini wanajenga familia pamoja mpaka wanakuwa na maduka yao kariakoo na biashara kubwa

-Huku nyumbani mabinti wetu warembo wanaamini mafanikio ya mwanadamu yanapangwa na Mungu pamoja na juhudi binafsi, ndio maana hawana huo utaratibu wa kumuhukumu mwanaume kwa namna anavyoonekana leo sababu wanajua kesho anayo Mungu.

Hivyo utaona kuwa aina ya mawazo yako yanawakilisha aina ya kundi la wanawake linalobakia baada ya kutoa hao wanawake wa huku kwetu.

Hongera kwa hilo ghorofa la mbezi beach.... lol
Divorce rate bongo juu mno sasa why ?
 
Back
Top Bottom