Vijana kabla hamjakurupuka kutaka kuishi na watoto wa watu kuoa muelewe maana ya mwanamke kuolewa.Heshima **** itapungua pale mkeo uliyemuoa anapoanza kukopa pesa na hata kuomba chumvi.kama huwezi kujivalisha huna haja yakuoa,Kama huwezi kulipa bills huna haja ya kuoa.Jikamilisheni kabla huja guarantee ya kumhudumia mwanamke .Life is very simple live according kwa income .Unaoa baada ya week unakuja na idea ya kujenga nyumba wote .Mwanaume wa maana Unaoa unanyumba ya kumweka mwanamke.umaskini utapungua sana .Date sio lazima uoe