Uzuri ni kuwa married man anaweza pia kufanya role ya single man.
Hakuna tofauti yoyote.............mwanaume anaweza aka multitask, shughuli ya kubebabeba sio ishu kabisa
utaharibunaenda kumwambia charminglady kuwa unamzingua kumbe wewe bado upo upo.
Haya basi simwambiii...itakuwa siri yetu tu.utaharibu
halloooo mbona unatupeleka kwenye IT tena wakati sisi tupo wkenye mapenzi?[/QUOTE
Thats whats up some men behave kama micomputa...........
Never On Earth!!Na Single man hawezi kufanya role ya married' man?
Hakuna tofauti yoyote.............mwanaume anaweza aka multitask, shughuli ya kubebabeba sio ishu kabisa