Deference between been single and married

Never On Earth!!

We una wake wangapi au bado upo upo kwanza?, na je kila mwanaume anapozidi kuongeza mke hapo anakuwaje? ningependa kupata picha ya mwanaume mwenye wake wengi anakuwaje sura yake anakuwa kama huyu jamaa aliyeoa au huyo aliyesingle?
 
...mtihani!!! mwenye raha yupi hapo wakuu!!!!
tumblr_lu91udUJYF1qjnt1uo1_500.jpg
 
ni kama hujapata wa kukutamkia ndoa ndio maana unasema hivyo,,,ngoja apagawe mtu akutangazie ndoa utaharakisha mwenyewe kuingia..mwisho wa siku upweke nao utata!!kila mwanamke hutamani kuolewa atakuwa dnungaemba hadi lini? ndoa raha jamani, ila ukipata mnayeelewana naye, so dada ni kuomba Mungu wako atakusaidia kumpata atakayekuingiza kwenye ndoa na ukaifurahia milele Inshaallah!!....
heeeee bora nisiingie kuliko kuingia na kutaka kutoka!!! maana kutoka ni kazi kwelkwel!!
 
ni kama hujapata wa kukutamkia ndoa ndio maana unasema hivyo,,,ngoja apagawe mtu akutangazie ndoa utaharakisha mwenyewe kuingia..mwisho wa siku upweke nao utata!!kila mwanamke hutamani kuolewa atakuwa dnungaemba hadi lini? ndoa raha jamani, ila ukipata mnayeelewana naye, so dada ni kuomba Mungu wako atakusaidia kumpata atakayekuingiza kwenye ndoa na ukaifurahia milele Inshaallah!!....
amiiina!!! yani dua lako nimelpenda balaaa!!!
 
We una wake wangapi au bado upo upo kwanza?, na je kila mwanaume anapozidi kuongeza mke hapo anakuwaje? ningependa kupata picha ya mwanaume mwenye wake wengi anakuwaje sura yake anakuwa kama huyu jamaa aliyeoa au huyo aliyesingle?
Mi nina mke mmoja mzuri kama Bikira Maria. Sina mpango wa kuongeza mke mwingine kwa kuwa sioni kama inalipa. Tamaa zikinizidia, kuna mabinti kibao mtaani wananihitaji niwape huduma.
 
ni kama hujapata wa kukutamkia ndoa ndio maana unasema hivyo,,,ngoja apagawe mtu akutangazie ndoa utaharakisha mwenyewe kuingia..mwisho wa siku upweke nao utata!!kila mwanamke hutamani kuolewa atakuwa dnungaemba hadi lini? ndoa raha jamani, ila ukipata mnayeelewana naye, so dada ni kuomba Mungu wako atakusaidia kumpata atakayekuingiza kwenye ndoa na ukaifurahia milele Inshaallah!!....
BINGO!!!

Ukiona mwanamke anasema hataki kuingia kwenye ndoa ujue hajapata anayempenda akatangaza ndoa! Chezeya kupenda na ndoa??
 
Mi nina mke mmoja mzuri kama Bikira Maria. Sina mpango wa kuongeza mke mwingine kwa kuwa sioni kama inalipa. Tamaa zikinizidia, kuna mabinti kibao mtaani wananihitaji niwape huduma.

Kumbe unamfahamu bikira maria? alikuwa mzuri sana? na tamaa zinazidije wakati una mke mzuri kama bikira maria? mi naogopa wanawake wazuri nasiki wanaweza kukusababishia kila saa tamaa zikazidi maana wanafikiri ukishakuwa mzuri basi inatosha wanajishau kutoa huduma mi niliwahi kuwa na mmoja yaani yeye akishajina mzuri anafikiria wewe unafurahia kuuona tu uzuri wake basi akifika kitandani anajilaza tuu
 
Hahahaha! Pole! Akijiona mzuri unakamata mwingine mzuri kushinda yeye. Atajirekebisha tu. Si unajua mwanamke mzuri bado hajazaliwa?
 
Back
Top Bottom