Mwanga Lutila JF-Expert Member Nov 10, 2016 4,137 13,824 Mar 19, 2017 #1 Attachments FB_IMG_1489935722677.jpg 65.2 KB · Views: 33
Yudasti JF-Expert Member Jan 22, 2017 947 1,353 Mar 19, 2017 #2 Anatamani kurudi utoto lakini haiwezekani.
Yudasti JF-Expert Member Jan 22, 2017 947 1,353 Mar 19, 2017 #3 Anatamani kurudi utoto lakini haiwezekani.
Wambandwa JF-Expert Member Dec 3, 2006 2,249 831 Mar 19, 2017 #4 Ujana kama maji ya moto lazimayarudi yalikotoka (ubaridi).
mjumbe wa bwana JF-Expert Member Sep 19, 2016 5,239 6,098 Mar 19, 2017 #5 makamba ebu njoo tusaidie umpitie na kipanya uje naye maana hizi mnaziweza
PAGAN JF-Expert Member Aug 19, 2014 11,764 19,295 Mar 19, 2017 #6 Tafsiri yake ni babu anakwenda kununua ugolo
Y ydn JF-Expert Member Nov 24, 2015 2,092 1,409 Mar 19, 2017 #7 Anakumbuka alivyochezea muda wake pamba sec
ISIS JF-Expert Member Apr 20, 2016 96,073 858,547 Mar 19, 2017 #8 PAGAN said: Tafsiri yake ni babu anakwenda kununua ugolo Click to expand... Hahahaha haki yanani!
9 999 JF-Expert Member Jan 14, 2015 2,231 1,515 Mar 19, 2017 #10 Anadanganya ana PhD kumbe inside elimu yake ni ya nursery school a.k.a vidudu
STUNTER JF-Expert Member Dec 15, 2015 13,075 17,237 Mar 19, 2017 #12 Ni mkuubwa, wa umbo lakini ndani anareact kama mtoto
dem boy JF-Expert Member Nov 4, 2016 6,509 15,629 Mar 19, 2017 #13 Lemutuz huyo,nje mzee ndani mtoto hhhhhhhhh....