Kwa wale wote dadaz na kakaz ambao wamepoteza watoto kwa njia ya abortion kwa sababu walizoona wao hazizuiliki!:sad: Ohh na wale wanaopanga kufanya hivyo....fikiria mara mbili mbili!!
YouTube - Flipsyde - Happy Birthday - ORIGINAL
Asante ya mdomo tu mchungaji???Unaona tabu ku du ze niidful?
Hii ni ya key board wewe mrembo! ya mdomo inabidi kuwa jukwaa la kikubwa. Do you believe in Procreation If I may ask?
I do!
Rev. iyo avatar yako inaokena kabisa wewe ni mchungaji pyuwa. Angalia uzalendo usije ukakushinda sababu ya akina Lizzy, ha ha ha!
....mchungaji yuko hapa kuhalilisha kondoo hatupotei!!!
I will???
Basi ngoja nianze kutafuta mapoint ya ukweli mapema!!!!
Thanks BAK, kesho Lizzy ataanzisha mjadala mzuri kuhusiana na evolutionist theories za procreation! Bila kuhusisha faith...
Hakuna ubaya Rev. tunaweza kujifunza mawili matatu katika mjadala kama huo si unajua tena hapa ni nyumba ya Great Thinkers...Where we dare to......openly
Nakuaminia binti! baadaye nitakuita kwenye synagogue tutete! Hahahahahhh