Dedication

Rev. iyo avatar yako inaonekana kabisa wewe ni mchungaji pyuwa. Angalia uzalendo usije ukakushinda sababu ya akina Lizzy, ha ha ha!
 
Rev. iyo avatar yako inaokena kabisa wewe ni mchungaji pyuwa. Angalia uzalendo usije ukakushinda sababu ya akina Lizzy, ha ha ha!

Hamna wewe....mchungaji yuko hapa kuhalilisha kondoo hatupotei!!!
 
....mchungaji yuko hapa kuhalilisha kondoo hatupotei!!!

Ok Lizzy, usemi wako nimeukubali. Namwachia mchungaji atimize majukumu, Amen!
 
Thanks BAK, kesho Lizzy ataanzisha mjadala mzuri kuhusiana na evolutionist theories za procreation! Bila kuhusisha faith...

Hakuna ubaya Rev. tunaweza kujifunza mawili matatu katika mjadala kama huo si unajua tena hapa ni nyumba ya Great Thinkers...Where we dare to......openly
 
Hakuna ubaya Rev. tunaweza kujifunza mawili matatu katika mjadala kama huo si unajua tena hapa ni nyumba ya Great Thinkers...Where we dare to......openly

Nakubali kaka ila ukiweka faiths watu watabadili maana na kuanza kuvaa gloves na kurushia hata wadada masumbwi!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom