bailamos
Senior Member
- Nov 14, 2015
- 188
- 122
Wakati tunaadhimisha siku ya wamama (mother's day) napenda kuwapa heko single mothers popote walipo.
Nguvu yenu ni kubwa na uwezo wenu ni mkubwa.Kumlea mtoto peke yenu bila baba si kazi rahisi kwa hakika mnahitaji pongezi kubwa.
Uthubutu wenu na uvumilivu wwnu unahitaji pongezi ya hali juu..Kulea mimba mpaka kujifungua..Kulea watoto kuanzia hatua kutojitegemea mpka kufikia hatua ya kuanza kujitegemea bila uwepo Wa baba zao karibu inaonyesha jinsi gani single mothers walivyo mashujaa.
Kutafuta na kuwapa mahitaji muhimu watoto zenu ikiwemo chakula..elimu nk,tena wengi wao hawapati mchango kwa wazazi wenzao inaonyesha jinsi gani mlivyo mama bora..
Happy mother's day to all single mothers