Ndugu WanaJamii,
Kuna mdogo wangu aliajiriwa kama Mwalimu na kabla hajaajiriwa alishafanya Interview ya Afisa Mipango kule Secretariat na juzi kapata barua ya ajira hiyo ya Afisa Mipango Mji, na ndiyo ilikua ndoto yake siku nyingi. Ila kaenda kwa DED wake ili amruhusu akafanye kazi mpya kamkatalia kabisa!
Hivyo anaomba msaada afanyeje na siku za kuripoti zinaisha.