Decoder

Decoder

tatizo bongo wanalalamika data sijui mpaka lini halafu wanataka kutizama stream za mabdro

chief pamoja mkuu
Data sio mbaya vipo vifurushi vingi vingi na speed siku hizi pia ipo vizuri. Ila inategemea na mahala unapoishi pia.
 
Hii ni issue ya Card
Hii ni issue ya card wala sio issue ya setilite...... kwa card zote zilizo sajiriwa tanzania zinanyimwa access ya local channel za tz, kama unataka kuona local channel basi chukua smartcard ya azam tv iliyo sajiriwa nchi, tatizo itakuja pale unapotaka kulipia kifurushi.... labda ununue kifurushi cha nwaka mzima alafu ndio uje nacho huku bongo.

.nawasilisha.
sawa kaka hv hyo ishu CYO kosa kwamba unaikosesha serikali mapato?
 
Back
Top Bottom