CYBERTEQ
JF-Expert Member
- Feb 11, 2012
- 7,341
- 4,045
Free country, but your rights are within the law.
Law zipi? Hebu tuwekee tangazo lao mkuu tuone wanasemaje. AD na Aljazeera hawafanyi biashara Tanzania, lakini sidhani kama kuna sheria inanizuiya kuaccess channel zao nikiwa Tanzania kwa njia ambazo nazijua mimi. DSTV wakomae na ving'amuzi vya mchina vinavyodecode channels zao, hayo mengine hayawahusu...nione -------- anakuja kunigongea eti aangalie channels nazotizama nazitoa wapi kama sijafungulia mbwa!