Decoder za abudhabi nitafute

Decoder za abudhabi nitafute

Abu dhabi naona km lesen yao ya kuonesha EPL inaisha 2014..cjui baada ya hapo itakuwaje?...vp wanaonesha La Liga na UEFA??

Mambo yote iko Aljazeera, hii abudhabi tumekula hasara, ila mimi nilinunua zile za kadi mbili kwahiyo naenda kulipia aljazeera. Abudhabi card naweka store.
 
DSTV+COSOTA wametangaza gazeti la jana kuwa wanaanza kufuatilia hii kitu. Nadhani imeanza kula kwao. Wanasema ni piracy (uharamia)
 
DSTV+COSOTA wametangaza gazeti la jana kuwa wanaanza kufuatilia hii kitu. Nadhani imeanza kula kwao. Wanasema ni piracy (uharamia)

Kuangalia ligi kupitia abudhab au aljazira ni uharamia.. ?
 
Hivyo ndivyo DSTV walivyotangaza pamoja na COSOTA. Wanasema jamaa hawana haki ya kuonyesha EPL bongo.


they cant be serious imefika kipindi tunalazimishana tutumie DSTV ?? mbona wanatuletea udicteta .. this is free country bana ... nina haki ya kuchagua kampuni gani itanifaa..

mi nitafunga hiyo kitu lafu niwaone wakija
 
Nisaidie namba ya huyo mwenye kuunganisha kwa bei hiyo ndugu. Natanguliza shukrani.

Mkuu hili bandiko langu mbona ni la kitambo sana, mwaka jana. Hata hivyo yule jamaa kafunga ile ofisi naskia waarabu walimletea zengwe
 
wakubwa nan kapata rights ya EPL msimu huu?na je Aljazeera wanaoesha UEFA?je ni ligi gan nyingine wanaonesha na je wanatangaza kwa lugha gan?
 
Wawazuie aljazera kutoa serivice zao tanzania au kutokuwauzia wageni kuliko kunikamata mimi..
Nakubaliana na wewe, kwanza kuanza kudeal na mtu mmoja mmoja ni kazi sana kuliko kudeal na Aljazeera as a single company.
 
Nitafute upate mambo mazuri,,,,,,,,,,0717/0787/0756-9666540 na bei ni 750000 full instalation

Hapo hujanyumbulika vizuri, sema zina channel ngapi na malipo yake yakoje na zina tumia dish gani, funguka babaaaa.
 
Mkuu inasoma kwenye high definition.??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom