BatteryLow
JF-Expert Member
- Aug 14, 2011
- 446
- 149
Leo ni siku ya nne inakamata TBC1 na TV1 tu, hakuna kitu kilichobadilishwa, ni LUKU iliisha tu na tulivyoongeza na kuwasha ndo ikawa ivo. Naombeni msaada kwa mwenye ujuzi niweze kuzirudisha nifaidi Eid jamani, au mnaonaje??