..hiyo kitu haifiki hiyo bei though hazina uhakika kabisa.Unachezea mchina wewe? Atakaechukua nitamwelekeza pa kupata software yake, kuhusu swala la loophole yake kuzibwa na jamaa wa South Africa ni swala gumu mno ndio maana zinatumia chip za simu ili kuscramble namba zinazobadilishwa kila dkk na multichoice, kwa kifupi ni ngumu.
..hiyo kitu haifiki hiyo bei though hazina uhakika kabisa.
wachina wa akili sana na wanatengeneza pesa ndio maana hata dongle ukitumia kwa muda furani inagoma kupiga mzigo,utabadilisha SW baada ya siku chache mambo yale yale wakati huo huo utasikia wametoa dongle mpya...angalia dongle kama strong 5000,hawk,avatar 2,G1,T1 nk zinavyozingua wakati huo huo wametoa dongle mpya kama G2...wao wanashindwa kuvifungua ni kweli lakini huwezi kutumia dongle moja miaka miwili au zaidi...hii kitu ni bahati nasibu kama kamali vile.Wewe kwa mawazo yako vinauzwa sh ngapi? Halafu hakuna mtu anaelazimishwa anunue, halafu unaongea kitu ucchokijua, na hii si mara ta kwanza kutumika Tanzania, vimetumika Nigeria tangia 2003 na hadi leo hii hawajavifunga waje wavifunge leo, wee unafkiri hawajui kama kuna vitu kama hivyo vinatumika?
Unachezea mchina wewe? Atakaechukua nitamwelekeza pa kupata software yake, kuhusu swala la loophole yake kuzibwa na jamaa wa South Africa ni swala gumu mno ndio maana zinatumia chip za simu ili kuscramble namba zinazobadilishwa kila dkk na multichoice, kwa kifupi ni ngumu.
wachina wa akili sana na wanatengeneza pesa ndio maana hata dongle ukitumia kwa muda furani inagoma kupiga mzigo,utabadilisha SW baada ya siku chache mambo yale yale wakati huo huo utasikia wametoa dongle mpya...angalia dongle kama strong 5000,hawk,avatar 2,G1,T1 nk zinavyozingua wakati huo huo wametoa dongle mpya kama G2...wao wanashindwa kuvifungua ni kweli lakini huwezi kutumia dongle moja miaka miwili au zaidi...hii kitu ni bahati nasibu kama kamali vile.
Nauza decoder hiyo hapo juu kwa sh 300,000 tu zimebaki chache if ur interest just pm me, kazi yake nadhani wengi mnaifahamu.
Unachezea mchina wewe? Atakaechukua nitamwelekeza pa kupata software yake, kuhusu swala la loophole yake kuzibwa na jamaa wa South Africa ni swala gumu mno ndio maana zinatumia chip za simu ili kuscramble namba zinazobadilishwa kila dkk na multichoice, kwa kifupi ni ngumu.
Mkuu naomba hyo software bac mie ntakuachia sh.kadhaa maana hawk ilishazma zaman..ntafute 0763443210
upo sahihi jamaa wanatunyonya saana ni vizuri tuwa hack tuwezavyo isssue ni bei ya jamaa ipo juu sana.....hata hiyo miezi mitatu kuangalia ni bahati nasibu,unaweza ukanununa leo kesho ikagoma,jamaa akisema kilo mbili hapo sawa,tutanunua lakini si kilo tatu.Hata ukitumia mwaka mmoja its worth it, kama una mapesa wape DSTV 1.3M kwa mwaka uachane na HAWK ya laki3, DSTV sina ham nao kabisa, wangekuwa wanatoa option ya mtu kuchagua channel hata 15tu anazozipenda then wangetoza hata elf30 kwa mwezi ingeeleweka, siyo wizi wa sasa kukujaza mamia ya channel ambazo zingine hata hauna shida nazo na hauziangalii kamwe!
Hata ukitumia mwaka mmoja its worth it, kama una mapesa wape DSTV 1.3M kwa mwaka uachane na HAWK ya laki3, DSTV sina ham nao kabisa, wangekuwa wanatoa option ya mtu kuchagua channel hata 15tu anazozipenda then wangetoza hata elf30 kwa mwezi ingeeleweka, siyo wizi wa sasa kukujaza mamia ya channel ambazo zingine hata hauna shida nazo na hauziangalii kamwe!
upo sahihi jamaa wanatunyonya saana ni vizuri tuwa hack tuwezavyo isssue ni bei ya jamaa ipo juu sana.....hata hiyo miezi mitatu kuangalia ni bahati nasibu,unaweza ukanununa leo kesho ikagoma,jamaa akisema kilo mbili hapo sawa,tutanunua lakini si kilo tatu.
Sasa hiyo software yake unaipata wapi? si ndio mambo ya kunnua kwa 40k, si afadhali niweke Compact DSTV?Sio kama dstv wamestukia ila wanajua kama vinatumika kuvifunga haiwezekani kutokana na jinsi vilivyotengenezwa, ila unachopaswa ni kuupdate software yake tu
Sasa hiyo software yake unaipata wapi? si ndio mambo ya kunnua kwa 40k, si afadhali niweke Compact DSTV?