December hiyooo yaja..take care

December hiyooo yaja..take care

INGENJA

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2012
Posts
4,990
Reaction score
4,271
Dec-15 dec-16 dec-24 dec-25 dec-27
dec-15.jpgdec16.jpgdec24.jpgView attachment 71024dec27.jpg

january -2 jan-14 jan 14
january2.jpg january14.jpgjanuary 3.jpgjanuary 14.4.jpg
 
tehe tehe wale wa migombani sasa hivi wataanza kutiririka makwao kuhesabiwa
 
.
Kuna swali huwa najiuliza sana .... hivi dunia ingekuwaje kama Ulevi / Pombe isingekuwepo / isingegunduliwa! ...

Watu wangekuwa wanaishi vipi? ... mambo mangapi yangeepukika ... maovu mangapi yasingetokea ... Je maisha ya familia mbalimbali yangekuweje? ... ndoa ngapi zingeokolewa ...

Watu wangapi wamefariki katika ajali kwa ajili ya Ulevi! (Je wangepona wangapi) ... magonjwa mangapi watu hupata kwa sababu ya Pombe / Ulevi
 
Dah kweli pombe inaleta vituko na majanga duniani!
 
Dotworld Nawe wewe kweli kwa mtazamo wako ina maana umeona ya kwamba pombe ndiyo imeleta haya mambo yote ya anasa iliyojaa leo hii ktk ulimwengu huu?

.
Kuna swali huwa najiuliza sana .... hivi dunia ingekuwaje kama Ulevi / Pombe isingekuwepo / isingegunduliwa! ...

Watu wangekuwa wanaishi vipi? ... mambo mangapi yangeepukika ... maovu mangapi yasingetokea ... Je maisha ya familia mbalimbali yangekuweje? ... ndoa ngapi zingeokolewa ...

Watu wangapi wamefariki katika ajali kwa ajili ya Ulevi! (Je wangepona wangapi) ... magonjwa mangapi watu hupata kwa sababu ya Pombe / Ulevi
 
Last edited by a moderator:

Hali ingekuwa mbaya sana. Pombe husaidia sana kuthibiti/kupunguza idadi ya watu.
 
preta mi luv you so kwa kauli yako..bia noma,arachuga nitarudi,daslam joto bhana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom