Debate kati ya Zitto na Lema.

Debate kati ya Zitto na Lema.

Siku za karibuni pamekuwa na mvutano kati ya waanasiasa machachari Godbless Lema na Zitto Kabwe ambayo kwa kiasi kikubwa imeanzia kwenye mitandao ya kijamii na ambapo issue ya Posho ilikuwa ni immediate factor ya tofauti baina ya Zitto na Lema. However Lema na kundi lake wamekuwa wakimpaint Zitto kama "snitch" ndani ya chadema. Na kundi la Zitto limekuwa likirespond toward the so called "trivial allegations" kuwa Lema hana hoja anatumika tu kumchafua zitto

Jana pamekuwa na malalamiko kuwa Zitto kabwe kapewa enough air time na Cloudsfm kuongea so pamekosekana balanced story na pamekuwa na hoja Za upande mmoja.

Ombi letu tunaomba debate ya hawa vijana wawili, ikiwezekana tuombe kipindi "cha tuongee asubuhi pale star tv" ama hapa hapa JF. Pembeni akae GODBLESS Lema na pembeni Zitto Kabwe. Tuamue uwezo wa hawa vijana kwa hoja na sio siasa za kusaidiana na kuchafuana. Jana Zitto kasema yeye ndie kamfundisha Lema siasa, na tuone kati ya mwalimu na mwanafunzi.

Mods naomba kama itawezekana muwasiliane na hawa vijana machachari debate ikifanyikia hapa JF litakuwa ni jambo jema zaidi.

Zitto Mlima Kilimanjaro, Lema Kichuguu cha mchwa. Wapi na wapi?

Nnakuhakikishia Lema hata kunusa hanusi wacha kujadiliana na Zitto ki mdahalo.
 
Acha ujinga wewe, umekalia majungu tu, mwaname kama mwanamke, Taja faida ya hiyo Debeti kwa usatawi wa nchi hii. Kutwa nzima ni majungu tu na kukuza vitu, nyie ndo mnakaa kuzoom sisimizi awe mkubwa kama tembo

Hivi matusi yote haya tatizo ni debate?? Najaribu kurudia andiko langu hili sioni nlipokosean au labda lugha niliyotumia lakini bado sioni nlikokosea.

Si bure, wewe una lako jaambo!
 
Unataka debate ya nini na kwa faida ya nani/faida gani. Kama umeshiba kojoa ukalale. Kila siku zito/lema. What's the hell?
 
Acha ujinga wewe, umekalia majungu tu, mwaname kama mwanamke, Taja faida ya hiyo Debeti kwa usatawi wa nchi hii. Kutwa nzima ni majungu tu na kukuza vitu, nyie ndo mnakaa kuzoom sisimizi awe mkubwa kama tembo

Hivi matusi yote haya tatizo ni debate?? Najaribu kurudia andiko langu hili sioni nlipokosean au labda lugha niliyotumia lakini bado sioni nlikokosea.

Si bure, wewe una lako jaambo!
 
Wewe msukule mpya wa Lumumba buku 7 pole na mhangaiko wa full time!

Wewe usinipangie debate nazozitaka, ungeomba wewe hiyo ya east africa. Wewe kama huoni faida ya debate kati ya zito na lema basi waachie wenzako wanaopenda. By the way since when umekuwa JF member's spokeswoman?

Chasha nakwambia huyu sixgates ni kati ya wasukule wapya wa chama cha mafisadi a.k.a ccm ama kwa kifupi ndiyo kati ya wale vifaranga wa jamaa!
 
Last edited by a moderator:
kati ya mijitu mipumbavu iliyobaki arusha ni pamoja na wewe..

kamanda yegella ina maana mimi sina haki ya kuishi arusha?matusi yanini? ina maana arusha watu wana lingana mitazamo?

back to topic
unaonaje huu mdaharo ukifanyika kamanda?
 
Last edited by a moderator:
mkuu debate itasaidia sana na itawajenga wote na si lazima watu wawe vyama tofauti. na ikiwezekana lema asaidiwe na kamanda Henry Kilewo.

Sina hakika kama debate umemaanisha mdahalo, kama hivyo mada ni ipi? Posho, usaliti au unafiki? lengo ni lipi ambalo litawajenga wote? Hata kama Lema ataingia mitini hatakuwa wa kwanza kwani tulishuhudia big potato aliingia mitini kipindi cha kampeni 2010, hata mawaziri wanaingia mitini hata vipindi tu vya tuongee asb Star TV.
 
Midahalo ni ruksa, ila kwa hawa vijana wawili sidhani kama watadhubutu kushiriki! maana wana upeo kiutendaji kuliko maneno! kuutenga muda wa kubishana hadharani tena kwa kuwekeza fedha nikukosa nidhamu juu ya uchumi na kujituma kazini, hasa kiuchumi ni wizi wa muda ambao ni kitu muhimu katika maendeleo. na watanzania watakaolazimika kuacha shughuli zao na kuwasikiliza na mwishowe wagundue hamna cha maana zaidi ya mipasho ndio mwanzo wa kudharaulika kwa hawa vijana na kupoteza uakilishi wenye tija katika taifa letu.! hivyo na hakika hawana hata hiyo ndoto ya mipasho kwenye TVs na redio kwani ni wazi wana upeo wa kutafakari mema na mabaya!
 
Siku za karibuni pamekuwa na mvutano kati ya waanasiasa machachari Godbless Lema na Zitto Kabwe ambayo kwa kiasi kikubwa imeanzia kwenye mitandao ya kijamii na ambapo issue ya Posho ilikuwa ni immediate factor ya tofauti baina ya Zitto na Lema. However Lema na kundi lake wamekuwa wakimpaint Zitto kama "snitch" ndani ya chadema. Na kundi la Zitto limekuwa likirespond toward the so called "trivial allegations" kuwa Lema hana hoja anatumika tu kumchafua zitto

Jana pamekuwa na malalamiko kuwa Zitto kabwe kapewa enough air time na Cloudsfm kuongea so pamekosekana balanced story na pamekuwa na hoja Za upande mmoja.

Ombi letu tunaomba debate ya hawa vijana wawili, ikiwezekana tuombe kipindi "cha tuongee asubuhi pale star tv" ama hapa hapa JF. Pembeni akae GODBLESS Lema na pembeni Zitto Kabwe. Tuamue uwezo wa hawa vijana kwa hoja na sio siasa za kusaidiana na kuchafuana. Jana Zitto kasema yeye ndie kamfundisha Lema siasa, na tuone kati ya mwalimu na mwanafunzi.

Mods naomba kama itawezekana muwasiliane na hawa vijana machachari debate ikifanyikia hapa JF litakuwa ni jambo jema zaidi.
Hii debate ikifanyika itakuwa na manufaa kwa mama ako. Ni muhimu sana ifanyike, nina imani itanufaisha ukoo wako na ule wa panya..!
 
Lema hana jipya anatafuta umaarufu kwa nguvu kwa kutumiwa na viongozi waroho wa madaraka ambao lengo lao si kujenga chama ni kujirundukia mali,ila Zitto ni mwanademokrsia wa kweli anayetetea raslimali za nchi zisiporwe na wanaomtumia Lema kuhadaa Watz.
 
Back
Top Bottom