Siku za karibuni pamekuwa na mvutano kati ya waanasiasa machachari Godbless Lema na Zitto Kabwe ambayo kwa kiasi kikubwa imeanzia kwenye mitandao ya kijamii na ambapo issue ya Posho ilikuwa ni immediate factor ya tofauti baina ya Zitto na Lema. However Lema na kundi lake wamekuwa wakimpaint Zitto kama "snitch" ndani ya chadema. Na kundi la Zitto limekuwa likirespond toward the so called "trivial allegations" kuwa Lema hana hoja anatumika tu kumchafua zitto
Jana pamekuwa na malalamiko kuwa Zitto kabwe kapewa enough air time na Cloudsfm kuongea so pamekosekana balanced story na pamekuwa na hoja Za upande mmoja.
Ombi letu tunaomba debate ya hawa vijana wawili, ikiwezekana tuombe kipindi "cha tuongee asubuhi pale star tv" ama hapa hapa JF. Pembeni akae
GODBLESS Lema na pembeni
Zitto Kabwe. Tuamue uwezo wa hawa vijana kwa hoja na sio siasa za kusaidiana na kuchafuana. Jana Zitto kasema yeye ndie kamfundisha Lema siasa, na tuone kati ya mwalimu na mwanafunzi.
Mods naomba kama itawezekana muwasiliane na hawa vijana machachari debate ikifanyikia hapa JF litakuwa ni jambo jema zaidi.