Dear X, "I Miss You"

Dear X, "I Miss You"

Ungeifuta hii comment, haichekeshi zaidi inakudhalilisha
Mbona Huwa hatuheshimu mawazo ya wengine? We unataka ni comment kile ambacho utakifurahia negative comments hapana? Unajua mana ya watu kutoa maoni Yao sasa kama wewe una taka tuongee vile upendavyo wewe mnge ambiana wawili tu ukileta kitu kwenye hadhara tegemewa negative comments
 
Ungeifuta hii comment, haichekeshi zaidi inakudhalilisha
Binadamu tumekuwa na ujasiri sana, unaweza Kuta kipindi yupo hai, ilikua humuheshim, kumsema vibaya pengine kumuumiza makisudi eti baada ya yeye kufa ndo unaanza kujifanya ULIKUA na mapenzi naye, watu kama wewe, nakufananisha na uwoya, kipindi marehemu ndikumana anaandika maandiko insta juu ya mapito masikini mpaka akaanza kuelezea kipindi anacheza soka la KILIPWA jinsi alivo kua ana MHUDUMIA demu lakini baada tu ya kufulia dharau zikaanza, demu hakujali akaaenda pale pale insta na kumjibu kunya, jamaa akashindwa move on matokeo yake alifariki, nadhani stress zilichangia, eti Leo demu akihojiwa kidogo tu anaanza kulia, mara aende kwenye kaburi la mume kulia stupid mbona ni unafikir wa kiwango cha lami,

Mpaka hapo kati yangu Mimi na wewe nani Alie ji dhalilisha? Unafikir mkubwa mnasubiri mtu afe ndo vinaanza ohooo nilikua NAMPENDA mara hivi, ilihali kipindi Yuko mzima ULIKUA unapelepka mbunye kuliwa na wana ye una mdharau kisa pesa au nguvu za kiume, mtu akifa ndo kutafuta kiki, nyamaza kabisa mapenzi ni vitendo mapenzi si maneno,
 
Ni Kupungukiwa Akili Kukubwa Sana Sana Ndugu Zangu
😀😁🤣😄😄🤣😂😂😅😅🤣🤣😄😀😀😁😀😄
By Mzilankende Mnyago
 
Mkuu umeongea ukweli Mchungu... Ila hatujui huyu aliye post mahusiano yao yalikuaje maybe Wali resolve na wakasahamehana ila ikawa ngumu kurudia a hatujui.. You can't judge so easily
 
Nyege mbaya sana....
663a230bb9bf34239044b72b6c29a4a6.jpg
 
Mkuu umeongea ukweli Mchungu... Ila hatujui huyu aliye post mahusiano yao yalikuaje maybe Wali resolve na wakasahamehana ila ikawa ngumu kurudia a hatujui.. You can't judge so easily
Sasa unaufahamu kwanini nime react hivi? Kaka ana force ninge comment anavo taka yeye, kuwa, pole najua mlikua mnapendana pole sana, sasa mi si mnafiki
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom