Hajakidhi vigezo 🤣🤣🤣Naona unamsagia kunguni mwana vipi mamkwe hujapenda mwanao kutongozwa kishua?
Ukinitaja mie nakununulia pradoOooh so cute.
Ni dada mtulivu asiyejua fujo mkuu ila kuna kaka yangu humu nataman yeye ndo amuoe Leejay nahisi watafaana kweli.
I bet my soul, he will never even make into the list of the reignBado hajawa matured mentality huyo na hapati na hatapata
Imeisha hiyo brohItapendeza sana .
ni gud chali yanguarifu inakuwaje pande hizo?
Nimepata ujumbe wako umenishambulia, nilikua sina mpango wa kuingiia humu jf leo, nipo busy. Sasa nimekuja kwa ajili yako tuliza presha twende taratibu kabla hujapoteanaYaani Wewe Jamaa ni kiazi sana, na Sipendi hata kujibizana na Wewe una tabia za hovyo hovyo naonaga hata comments za Mabinti humu huwa una criticise sana una shida gani Wewe ? Alafu eti na Wewe una ndoto ya kuja kuwa President wa Tanzania? Badirika Mzee Punguza tabia za hovyo kama huwezi na hupendi jambo likaushie tu sio unakuja na kuelekeza nini kifanyike. Halafu ipo hivi WEWE UNAPOSEMA MIMI NIKO DESPERATE NA WEWE NDIO UPO DEPERATE PRO. Kwani kum Compliment Member humu shida iko wapi ? Nilishawahi kuwaandika Member humu kutokana na michango yao na mitazamo yao mbona hukuingilia?
Lamomy huyu Baby wako ni Andazi na hauna Baby hapana Mwambie aache gubu. 🤣🤣🤣🤣
Huyu mayanza naona kaanza kurukwa na akili, ngoja nione😂Manyanza hi 👋 😂😂😂
Sihitaji ujibizane na mm, mm nakuweka sawa.Yaani Wewe Jamaa ni kiazi sana, na Sipendi hata kujibizana na Wewe una tabia za hovyo hovyo naonaga hata comments za Mabinti humu huwa una criticise sana una shida gani Wewe ? Alafu eti na Wewe una ndoto ya kuja kuwa President wa Tanzania? Badirika Mzee Punguza tabia za hovyo kama huwezi na hupendi jambo likaushie tu sio unakuja na kuelekeza nini kifanyike. Halafu ipo hivi WEWE UNAPOSEMA MIMI NIKO DESPERATE NA WEWE NDIO UPO DEPERATE PRO. Kwani kum Compliment Member humu shida iko wapi ? Nilishawahi kuwaandika Member humu kutokana na michango yao na mitazamo yao mbona hukuingilia?
Lamomy huyu Baby wako ni Andazi na hauna Baby hapana Mwambie aache gubu. 🤣🤣🤣🤣
Wewe mayanza hakuna nilipokuattack mm nimekuambia kweli, yes upo desparate. Kama kukuambia ukweli ni kukuchafua basi chafuka sanaSiandiki jambo ili nifurahiwe kwa sababu kila mtu ana mtazamo wake, kilichonikera ni Wewe ni kuni attack mojamoja kwamba niko Desperate umenichefua sana aiseee. Jifunze sana kuwa na tafakuri ya mambo sio kukurupuka na mihemko kama Mbuzi aliyefunguliwa asubuhi kutoka Bandani.
Nime Compliment Miss Leejay49 kwa muono wangu sijaingiza hata neno la kumtongoza au kuandika neno lenye kiashiria cha Mapenzi.
Mayanza umeandika pumba lazima tukukosoe, alafu unaonekana unapenda sana kuonewa huruma.Unajuaje PM Sijaenda ? Alafu na Wewe ni Andazi tu kama huyo Kantri Waidi, kum Compliment Mtu ni vibaya? au Kiingereza hujui ? Jaribu kusoma vizuri kama utaona nimeandika maneno ya kumtongoza huyu nilimwanzia huu uzi. Yaani Vijana wa humu ni wa hovyo sana. Mbona hata GENTAMYCINE kipindi kile alikuwa anampigia kampeni apewe Umalikia wa JF alikuwa anamtaka ?
Mayanza mm nitakuchefua zaidi kama hutaacha huu ujinga.Huyo Baby wako wa Keyboard ni Fwalaaaaaaaaaaaaaa tu amenichefua sana halafu Mimi ni A real Man sipendagi ujinga.
Upo insecure, umekosa kujiamini kwa kile ulitaka kumaanishaSoma hii comment Andazi wewe Countrywide
Mayanza mm huwa sichoki kusema ukweli, alafu mbona unatia sana huruma? Umekomalia sana compliments?Mkuu ERoni umenena kweli huyu Countrywide ni Andazi tu. Na huu uzi kwangu ni Compliment tu. Lakini nashangaa amekuja na kuanza kuandika ujinga kanikera sana.
Mayanza anatumia njia za kizee sana, hawa vijana genye zinawapeleka vibaya.Wewe na huyo genta wote akili hamna, ndio maana mnabwabwaja tu. Hapo ulikuwa unampa compliment au unamwaga sera zako? Acha ufala mbwa wewe. Mwanaume hutakiwi kuwa na shobo zisizokuwa na mipaka.
Nina uhakika 100% kwamba PM hujaenda maana courage hiyo. Na mngebahatika kukaona hako kalily kenyewe mnakokaanzishiaga nyuzi, mngetuliza mishono