Poleni sana akina dada na mama zetu.Hiyo ni changamoto kubwa sana mnayopata kutoka kwetu wanaume.Hello wapendwa. Hope you are all doing fine.Leo nina kitu kidogo nataka kushare na nyinyi.
Unaweza kuta mwanaume anamkosea mtu either mpenzi wake, mke wake, mtoto wake au jamaa na marafiki but inakuwa vigumu sana kwake to say 'am sorry' meaningfully.
Samahan ni neno dogo sana but ina umuhimu mkubwa sana.Dear men, u better drop your ego at least once in a lifetime muwe mnaomba samahan, it means alot.Unaweza mkosea mtu mambo mengi but when you say am really sorry meaningfully, mtu anaweza kukusamehe na kusahau kwa wale kama mimi ambao hawaweki vitu moyoni.
Na nyie wengne mkiombwa msamaha kwa dhati siyo mtu unavuta mdomo kama kasuku na kununa na kumhesabia mwenzio makosa yake as if you are God.Ukisamehe unakua na amani moyoni.
Have a blessed hustle.Nawapenda.
Nimeyashuhudia hayo sana mpaka huwa naumia sana.Tena sio samahani tuu hata kusema asante tuu kwa mpenzi wako kwa jambo lolote ni shida.mf.MKEO/mpenzi...amekupikia amekuandalia chakula unashindwaje kusema asante sana na kumtia moyo zaidi.
Mimi ni mwanaume lakini huwa ninaomba msamaha kwa siku mara nyingi sana hata kama ni kakosa kadogo sana mf,missed call..kuchelewa kidogo hata kama nilimpa taarifa lakini nitakapo rudi lazima nimuombe msamaha mke wangu na kumpa pole kwa kuwa mpweke ingawa ndoa yangu sasa ina miaka 10...
Tujitahidi wanaume kuomba msamaha haraka pale tunapojua umemkwaza mwenzio hata kwa jambo unaloliona wewe ni dogo lakini kwa mwenzio linaweza kuwa limemuumiza sana.
Semeni asante kwa kila jambo unalotendewa na mkeo mpenzi mtajikuta mnapunguza migogoro mingi midogomidogo ambayo ndio chanzo cha kukosekana kwa amani na maelewano kwenye ndoa.
Si kwamba mke wangu ni bora sana ila nimejua kuwa mume ukuwa na akili unaweza kumfanya mke hata mbaya akawa mzuri cha msingi ni kila jambo unalofanya ni lazima utumie hekima sana hata kama unaona unayo haki au umekosewa.