lady Jay
JF-Expert Member
- May 29, 2016
- 526
- 646
Hello wapendwa,
Hope you are all doing fine,
Leo nina kitu kidogo nataka kushare na nyinyi. Unaweza kuta mwanaume anamkosea mtu either mpenzi wake, mke wake, mtoto wake au jamaa na marafiki but inakuwa vigumu sana kwake to say 'am sorry' meaningfully.
Samahani ni neno dogo sana but ina umuhimu mkubwa sana. Dear men, u better drop your ego at least once in a lifetime muwe mnaomba samahani, it means alot. Unaweza mkosea mtu mambo mengi but 'when you say am really sorry meaningfully', mtu anaweza kukusamehe na kusahau kwa wale kama mimi ambao hawaweki vitu moyoni.
Na nyie wengine mkiombwa msamaha kwa dhati siyo mtu unavuta mdomo kama kasuku na kununa na kumhesabia mwenzio makosa yake as if you are God. Ukisamehe unakua na amani moyoni.
Have a blessed hustle. Nawapenda.