Yaani wanawake bhana.
Anapokuwa hajaolewa anachepuka na waume za watu.
Akishaolewa anataka mumewe asichepuke.
Sasa wenzake watahudumiwa na nani?
Maisha Ni mzunguko. Unamopita wewe na wengine watapitia humo humo.
Aafu suala la size kila mtu anapenda size anayoifurahia, wengine wanakojozwa na hela tu hivyo hata jamaa akigusa tu kwa nje mwanamke alisharidhika.
Na kila mtu ana namna ya kutumia silaha aliyonayo ikamletea mawindo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.