MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,084
I am proud to be a Man no matter they say Man will always be a Man
awwww!
I am proud to be a Man no matter they say Man will always be a Man
sawa mkuuNajaribu kumwambia akichukia watu awe na sababu,... Tatizo atongozwi anaona wanaume amna kumbe yeye ndo mchafu, IDK
Hapo ndo ubongo wangu ulipogoma, alafu kama nimeusoma vizuri uzi wake hapo ni kwa walio oa tu, sasa kwa tafsiri hiyo ukijumlisha na ambao hawajaoa wanaume wasio na marinda siwatafikia 99%? Hapana kwakweli tunapokosoana itabidi tupunguze hisia zetu kwanza.kwahyo hapo ana manisha kila wanaume 10 ...6 wanamarinda less... hao wanaume 6 ni weng sana !sijawah kutana na mwanaume aliewah nidokza habari kama hizo...labda suzie barbie shuka kidg na hizo ratios zako! walau sema 2:10
Hapo ndo ubongo wangu ulipogoma, alafu kama nimeusoma vizuri uzi wake hapo ni kwa walio oa tu, sasa kwa tafsiri hiyo ukijumlisha na ambao hawajaoa wanaume wasio na marinda siwatafikia 99%? Hapana kwakweli tunapokosoana itabidi tupunguze hisia zetu kwanza.
Nice enhee?awwww!
Swadaktaaaaa sheikh wanguUtakuwa umesahau haka kamsemo,
Mwanaume mwenye wanawake wengi = RIJALI
Mwanamke mwenye wanaume wengi = MALAYA
Kitendo cha kujifanya mwana mke ni hatari maana ipo siku waweza omba upate radha ya BoloyangKati ya kumi ni sita so that's what she meant I think..but ni kweli ukienda dating sites we jifanye hata mwanamke utaona vituko kibao
Sent using Jamii Forums mobile app
Thanks.Amazing!....
kweli kibiti noma. umemtolea povu la kutosha ila ukweli umesema. Hongera mkuu“Asilimia 60 ya married man hawana marinda".....WTF!!!kama mumeo ameshazibuliwa au anazibuliwa mtaro usije hapa kukompea na wanaume wote na kuuzungumzia ujinga wake kutuunganisha nae...wewe kama uliangalia mtanashati unaegombania nae dressing table lotion na powder kila asubuhi ulitegemea umkute salama.umaarufu JF tafuta kwa njia nyengine sio hii kuandika kama kitu unakijua kumbe hukijui.na nimemekutukania kiungo chako cha uzazi.
sent from Kibiti with Nokia3310 using Jf app
Kwa taarifa yako kila mwanamke anapewa kiwango chake...kwako sekunde mbili,kwa mwingine saa zima izi hazina formula we kiremu tuGood evening family,
Poleni na uchovu wa mihangaiko. Straight to the point,
Ni hivi uzi zimejaa humu ndani kuhusu wake kwa wanaume kusalitiana ndani ya ndoa but Mara nyingi the victim ni mwanamke na malalamishi kibao huenda kwake endapo akisaliti. No body has a right to betray his or her spouse as long as you took vows willingly.
Leo niko na wanaume wanaosaliti ndoa zao maana mmezidi. Unakuta mwanaume ana kipenseli, kibamia kimesingiziwa ni kikubwa am talking of a small pencil ila anavyokitembeza mtaani utafikiri hana mke ndani.
So you are trying to show the world that your Mrs owes that small pencil of yours. Bora ukitulize ndani for only your wife usiendelee kumuaibisha nje. Wengine very bad performers sekunde mbili nyingi tayari sasa wewe what the hell are you doing with michepuko?
Unajiaibisha na kumuaibisha mkeo kingine my dear brothers what happened to your marinda? Baadhi ya married men hawana marinda jamani mbona mnawaibisha wake zenu? Kama ndo formula yenu ya kufanyana basi don't let the world know about it.
Yaani mmejaa dating sites wanting to be submissive ili mfanywe na wanawake you men are embarrasing bora mfanye hata na mtu moja ila hutotuliza that shimo hehehe na your embarrasing your wives. And what the heck is a married man looking for at the dating sites?
Well most of them are looking for gays to help them with the fantasies that their wives can't do so why did you even marry? Ukioa maanake ur body belongs to your wife only
siyo unazungusha maumbile yako ambayo umeshayaharibu kwa kila mwanamke au mwanaume ili uendelee kufanyiwa shoo ujue unakua unamwaibisha mkeo.
So some factors ndo maana zinasababisha badhi ya wanawake kuchepuka na nyie wanawake tulieni kwenye ndoa zenu. Wengine eti mnawatafuta mabinti wawasaidie kuwapa raha ambayo hupati kwa mume wako.
Sasa kilichokupeleka kwenye ndoa ni nini na hata ukienda kumvulia mwanaume mwingine unamkosesha heshima mumeo. Heshimuni ndoa zenu jamani hasa wanaume cuz tunakoelekea mnakua hamna tofauti na akina James Delicious au akina Jane. Na wengne tulizeni toothpick zenu ndani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari za siku nyingi mama? umepotea kweli kweli!!!!watakao panic ndiyo wenye vibamia na marinda hawana nipo hapa nahesabu nadhani itazidi asilimia 60