Dear married men, acheni kuwaaibisha wake zenu

Dear married men, acheni kuwaaibisha wake zenu

Status
Not open for further replies.
Lakini mm nimesoma kwa mtazamo huu. Huenda kabisa mtoa mada ametu.ia hasira kwakuwa ametendwa.

Nianze hv nimisema mtoa mada anaonesha pasipo shaka muwa yy ni mgawaji mzr je nitakua nimekosea? Anasema 60% ya wanaume wa Dar hawana marinda. Kwanza siwatetei wanaume wa Dar yamkini kweli hawana marinda. Lkn swali je??alijuaje?? Umisema 60% unamaanisha karibia wanaume 1.2 mill ss sema mtoa mada ametembea na wanaume 60 tu ambao wengi wao aligundua wamefumuliwa marinda(very sad). Lkn nikawaza zaidi je alikua anatafuta nn kwenye marinda??? Ulikua unaramba?? Jamani ndo maana magonjwa hayawaishi wadada mnajiachia sana.

Anyway nimekusoma kwenye mada yako ila nakushauri acha tabia ya kuwa mgawaji hovyo mpaka unatujia na stastics za ajabu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mimi nimeshituka sana na takwimu zake mkuu na nimeshangaa mtu unawezaje kuweka takwimu za kushitusha namna hiyo bila utafiti usio shaka.

Vv
Asilimia 60 zimenishtua kwakweli, na ukihoji kazipataje utaishia kuambiwa huna marinda, huku tumefika mbali sana.
 
watakao panic ndiyo wenye vibamia na marinda hawana nipo hapa nahesabu nadhani itazidi asilimia 60
Kwakweli kwenye hizo asilimia 60 kunahitaji ufafanuzi, hili jambo limenishtua sana, ubongo wangu umeelewa kote kasoro hapo tu.
 
“Asilimia 60 ya married man hawana marinda".....WTF!!!kama mumeo ameshazibuliwa au anazibuliwa mtaro usije hapa kukompea na wanaume wote na kuuzungumzia ujinga wake kutuunganisha nae...wewe kama uliangalia mtanashati unaegombania nae dressing table lotion na powder kila asubuhi ulitegemea umkute salama.umaarufu JF tafuta kwa njia nyengine sio hii kuandika kama kitu unakijua kumbe hukijui.na nimemekutukania kiungo chako cha uzazi.

sent from Kibiti with Nokia3310 using Jf app
Yatakuwa yamemfika bwana wake si ridhiki... Si kwa povu hilo
 
Hivi wanawake pia si huwa mnapenda bembeleza wanaume waliooa tena huwa mnawaambia kabisa, "miye nitakuwa side chick, wala mkeo hatojua..."



wewe ulikua akilini mwangu mkuuu.....bora umeconnect dots hapa...tusifukue makaburi bure! alafu haya mambo ya kibamia mbn yanakuzwa hivi jaman Mungu wangu! mie nikikutana na mwanamke anaongelea kibamia huwa nahis hajui sex(am sole).....au ni vile sijawah kumbana navyo!!!!!!! ni mbaya sana sana kumwambia men maneno mazito kama haya jaman!...unamfanya awe na woga maishan mwake!....asante mleta mada lakini......lakini kumbuka majuzi tu ulijisogeza kwa victim m1 ukasema uwe side chick wake sijui hukujua ameoa na yamemkuta!...
mapenzi ni HISIA
 
Aisee, kwa maana hiyo asilimia 60 ya walio oa wako dating sites wanatafuta watu wa kuwashughulikia marinda yao? Bado napata shida kwakweli kuamini hizo percentage.


mie na ushamba wangu sitajaribu kwenda kwenye hizo sites jaman ndo maana wanakutana na maajab ya karne! hv huyo men anaanzaje kuniambia nimchezee mku.nd.u wake mm!aseeeeee
 
Pambana na hali yako mkuu,...Wanaume kutokutongoza usijichafue na matope yako mwenyew,.. Ukiwa mvivu usiwe na wivu,
 
mie na ushamba wangu sitajaribu kwenda kwenye hizo sites jaman ndo maana wanakutana na maajab ya karne! hv huyo men anaanzaje kuniambia nimchezee mku.nd.u wake mm!aseeeeee
Kwakweli, hatukatai wala hatuwatetei watoa/watolewa marinda, paliponishtua ni hapo kwenye 60 percent alivyoipata, ubongo wangu umekua mzito kukubaliana nae, anyway hii dunia ina mengi
 
Kwakweli, hatukatai wala hatuwatetei watoa/watolewa marinda, paliponishtua ni hapo kwenye 60 percent alivyoipata, ubongo wangu umekua mzito kukubaliana nae, anyway hii dunia ina mengi



kwahyo hapo ana manisha kila wanaume 10 ...6 wanamarinda less... hao wanaume 6 ni weng sana !sijawah kutana na mwanaume aliewah nidokza habari kama hizo...labda suzie barbie shuka kidg na hizo ratios zako! walau sema 2:10
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom