Dear married men, acheni kuwaaibisha wake zenu

Status
Not open for further replies.
solomon married 3000+ wives
who are you to defy god??

Sent using Jamii Forums mobile app
Having many wives aint a problem dear kama unajijua uko vzuri u can satisfy them thats cool sasa mwingne ndo hvyo anataka michepuko kibao wakat sexually hawezi kuwaridhisha maybe writhin two seconds kashamwaga na game yake mbovu sasa si bora tu utulie na mkeo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kati ya kumi ni sita so that's what she meant I think..but ni kweli ukienda dating sites we jifanye hata mwanamke utaona vituko kibao

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee kumbe huko dating sites kuna takwimu za wanaume walio oa ambao hawana marinda tena kwa asilimia 60 kabisa? Hebu atuambie vizuri yeye alivyopata hizo asilimia, sababu kama tumefikia huku hali sio nzuri.
 
Mkishazoeana ndo anaanza kukwambia anapenda kuchezewa mk***du na huwa anafanywa na wanawake ukimuuliza mkeo anajua anaweza kujibu yeye pia huwa ananifanyia au mke wake hajui chochote...Ni wengiii sanaaa wengne wana heshima zao sasa huko si kuaibisha ndoa yako au mkeo tena jamaa anakwambia kabisa nafanya na watu wengi..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Having many wives aint a problem dear kama unajijua uko vzuri u can satisfy them thats cool sasa mwingne ndo hvyo anataka michepuko kibao wakat sexually hawezi kuwaridhisha maybe writhin two seconds kashamwaga na game yake mbovu sasa si bora tu utulie na mkeo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa maana hiyo bibie kama najiweza ruksa kuwa na kamchepuko?. Alafu unatakiwa utambue hakuna binadamu awe me au ke anayechepuka kuridhisha nafsi ya mchepuko ni ubinafsi tu na kujiridhisha yeye mwenyewe, kwaiyo usishangae mtu ni one minute man lakini michepuko kibao. Lamsingi hapa kila mmoja me&ke amheshimu mwenzake basi.
 
Yes ni kweli kabsa.Sasa huoni unavyokua lets say michepuko mitano na kazi yako sekunde tano tayari wakat ndo kwanza mwenzio anaanza kuisikilizia.Inaboa sana utashangaa anaanza dharau mkeo ana kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkishazoeana ndo anaanza kukwambia anapenda kuchezewa mk***du na huwa anafanywa na wanawake ukimuuliza mkeo anajua anaweza kujibu yeye pia huwa ananifanyia au mke wake hajui chochote...Ni wengiii sanaaa wengne wana heshima zao sasa huko si kuaibisha ndoa yako au mkeo tena jamaa anakwambia kabisa nafanya na watu wengi..

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee, kwa maana hiyo asilimia 60 ya walio oa wako dating sites wanatafuta watu wa kuwashughulikia marinda yao? Bado napata shida kwakweli kuamini hizo percentage.
 
Hivi wanawake pia si huwa mnapenda bembeleza wanaume waliooa tena huwa mnawaambia kabisa, "miye nitakuwa side chick, wala mkeo hatojua..."
Baada ya kuumizwa wanalialia. Kama mwanaume kamuacha mke wake wa ndoa akaenda kuchepuka na kabinti... kabinti kajiandae tu kwa kuachwa bila kutegemea.

Vilio vya "wasichana" kwa sasa kimbilio lao la kujifariji ni "vibamia"
 
Kuna ulazima gani wa kuchanganya kiswahili na kiingereza, umechafua ladha ya uzi wako
zote ni lugha tu mleta maada yuko sahihi kwa hilo,sidhani kama hiyo sim unayotumia ni full kiswahili,hata hapa jf kuna maneno kama 'send',' register','login','forum' na kadhalika yanatumika bila complain.
 
Jipange upya!

Tafuta mwanaume wako, utatumiwa kama mchepuko mpaka lini

"mwanaume mashine"
 
Mkishazoeana ndo anaanza kukwambia anapenda kuchezewa mk***du na huwa anafanywa na wanawake ukimuuliza mkeo anajua anaweza kujibu yeye pia huwa ananifanyia au mke wake hajui chochote...Ni wengiii sanaaa wengne wana heshima zao sasa huko si kuaibisha ndoa yako au mkeo tena jamaa anakwambia kabisa nafanya na watu wengi..

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo ww umeshachezea mikndu mingapi ya wanaume?!
 
Hizi asilimia zako umetoa wapi 60% is far from the truth,,,,,,,,,vilevile hatuna vibamia kama unavyofikiria mkuu.Huu uzi hauna uhalisia
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom