Dear God Na 2030

Dear God Na 2030

Iamjac16

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
214
Reaction score
53
Ni Ngoma Ipi Kali Kati Ya Dear God Ya Kala Na 2030 Ya Roma
 
Kwa sababu zina maudhui tofauti kila mmoja ni mkali kivyake
 
Zote ni kali ila maudhui ni tofauti huyu Masuala ya God mwingne mambo ya kila siku
 
ufananishe wimbo wa kala jeremiah unaitwa PASAKA na 2030.......kidogo maudhui yanarandana
 
Bonge la ubunifu na haijawahi tokea!

Kweli bonge la ubunifu kuanzia idea mpaka beat. Verse moja yenye kuongelea kila kitu.
Kaongelea siasa, rushwa, usaliti katika mapenzi, wasanii kuchakachuliwa, waliotutoka, jamii kupotoka, kamtukuza Mungu no chorus but imejitosheleza hata ma dj wangebana still jamii ingeiomba ipigwe hiyo ndiyo Dear God
 
Kweli bonge la ubunifu
kuanzia idea mpaka beat. Verse moja yenye kuongelea kila kitu.
Kaongelea siasa, rushwa, usaliti katika mapenzi, wasanii kuchakachuliwa,
waliotutoka, jamii kupotoka, kamtukuza Mungu no chorus but
imejitosheleza hata ma dj wangebana still jamii ingeiomba ipigwe hiyo
ndiyo Dear God
Ile ya Wimbo wa taifa yenyewe ilikuwa moto wa kuotea mbali. Anastahili tuzo mwaka huu kwa dear God.
 
nINGEULIZWA NIKAISHI WAPI NINGECHAGUA
TARIME ILI KUMUENZI CHACHA WANGWE,
HIFADHI YA KWELI KA JENGO LA NGOME
KONGWE, UKIMWI SIKU HIZI DILI JITANGAZE NA
USITENGWE,
TOA DARASA KWENYE SIASA ZA MIZENGWE,
NYERERE ANGEKUWEPO WASINGE USHUSHA
HADHI MWENGE,
AZIMIO LA ARUSHA LIKO TENGE, SINA RADA COZ
SINA VIJISENTI KAMA CHENGE,
NIMELETWA KUJA KUTETEA WANYONGE,BILA
GARI, BILA SUTI, BILA JIMBO KA MBUNGE,
NATOA DAWA HERBALIST KAMA
MATUNGE,ZAHANATI HAZINA DAWA DOKTA ANA
DUKA LA VIDONGE,
KAZA GIDAM BEBA BAJETI TUSONGE KUHUSU
UHURU KAWAULIZE MALECELA NA KINGUNGE,
MI SIO TAPELI KAMA BABU WA LOLIONDO
ALIYEWATIBU V.V.U KWA MAJI TAKA YA
KIKOMBE.POMBE SIYO SULUHISHO LA MATESO
SULUHISHO LA MATESO MKULIMA SHIKA JEMBE,
VIJIJI BADO VINA NYUMBA ZA MATEMBE, MIJI
IMEJAA MAFISADI NA WAPAMBE, GETO
LINANUKA GANJA MIXA GAMBE WE KATIZA KAMA
MJINGA WAKUCHANE NA VIWEMBE, SEMBE
NILIYOSHIBA SIYO YA KUIBA NATOBOA SIRI
YAKUWA MFALME ANAPEMBE. hahaha hii ni
baadhi ya mistari kwenye wimbo wangu mpya
uitwao AZIMIO LA ARUSHA........KALA JEREMAYA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom