Dear CharmingLady

japo niko mbali kumuandalia kijacho mazingira mazuri akija ale raha kama ivy blue carter, charminglady nakukosa mbaya, narudi home soon kwa ajili yako, mambo hayaendi huku kwa kukukosa barafu wa moyo wangu, xmas na mwaka mpya tutakuwa wote laaziz,

Mkuu mbona fasta hivyo? Hata hatutaarifiani nilete beseni la mtoto?
 
japo niko mbali kumuandalia kijacho mazingira mazuri akija ale raha kama ivy blue carter, charminglady nakukosa mbaya, narudi home soon kwa ajili yako, mambo hayaendi huku kwa kukukosa barafu wa moyo wangu, xmas na mwaka mpya tutakuwa wote laaziz,

shikamoo baba kijacho... umeamkaje leo? mie na kijacho tumeamka poa poa!!!!
 
Last edited by a moderator:
Kha! umenichoka shosti..............lakini poa, nitamchukua

teh teh teh... mekupa hensamu umemkataa huyo pia humtaku... wataka nini weye?!!!! afu nakutaka sana weye jioni ntafte pannde zile zile nina fuko la umbeya.... linanilemeaje???? afu wifi kanambia alikucheck somewhere lolest!!!!!
 
Hahaha utasutwa...........nilimuona pale karibu na Ryan........lol
 
japo niko mbali kumuandalia kijacho mazingira mazuri akija ale raha kama ivy blue carter, charminglady nakukosa mbaya, narudi home soon kwa ajili yako, mambo hayaendi huku kwa kukukosa barafu wa moyo wangu, xmas na mwaka mpya tutakuwa wote laaziz,
Mh.....
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…