Sawa sawa kabisa kiongozi wangu.
Mshukuru sana Mnyazi MUNGU kwa kukujalia kukutana na kufahamiana na mafriends na flowers waliokuzunguka, hakikisha humpotezi hata mmoja, manake hao wamechangia kwa kiasi kikubwa hadi umeweza kufika hapo ulipo hivi leo.
Heshimu kila mtu kiongozi wangu hata kama mna itikadi tofauti za kidini, kisiasa, kijamii, kiutamaduni, kikabila, kiumri hata na kielimu.
Heshima mbele kama tai ya mbunge wa uingereza(hasa ile iliyopiga muziki wakati anatoa hoja bungeni juzi kati):smile-big: Na mimi sina shaka kabisa kwamba hujawahi kuwa na matatizo na wajukuu zako ukizingatia ni geloz jukuuz, ingawa wapwaz mara moja moja huwa wanakuzingua lakini unarekebisha.
Clearing usikonde mpenzi wangu
Nshazikusanya pale Mummy's shop.
Afu wee si nshakuambia bethdei imeahirishwa mpaka J3? Kisa cha kumnywesha babuyo madhiwa ni nini?
Ndio kusema leo hautualiki babu
Si unaona mjukuu anasema eti mi mtanipa madhiwa wakati nyie mkilipa kodi TBL/SBL?
Kwa ijumaa hii hapana, labda jumatatu ntavumilia.
thatha mbona hujatwambia tunakutana wapi kuja kukupongeza? au unaenda na mjukuu origino pekee?
hapa kwenye RED lazima limbwata ifanye kazi.......Hahahaha...wewe bana, babu si mbaguzi. lokesheni mtaesiemsiwa bana!
Hahahaha...wewe bana, babu si mbaguzi. lokesheni mtaesiemsiwa bana!
hapa kwenye RED lazima limbwata ifanye kazi.......
hehehehe!hahahaaaaaaaaaaaaa unamshauri babu apulize limbwata ukumbini kabla ya wageni waalikwa kufika
Usijali utawakilishwa na bibie Cleaner!!Babu mbaguzi bana, c wa mbali tushachelewa usafiri ngoja tusubiri ya mwakani maana uku usalalule hakuna ndege
thatha mbona hujatwambia tunakutana wapi kuja kukupongeza? au unaenda na mjukuu origino pekee?
Afu wewe mbona we una wivu sana??? Wote tunajua Birthday ya Babu mbona hukuanza kumpongeza?? Kwenu hakuna heshima kwa mkubwa eh??
Sijui niibinafsishe??.........Babu.ukimaliza Africana mjukuu origino amekuandalia dinner........just the TWO of us.............mimi na wewe tu.
Afu wewe mbona we una wivu sana??? Wote tunajua Birthday ya Babu mbona hukuanza kumpongeza?? Kwenu hakuna heshima kwa mkubwa eh??
Sijui niibinafsishe??.........Babu.ukimaliza Africana mjukuu origino amekuandalia dinner........just the TWO of us.............mimi na wewe tu.
MAmito mie ni mzima kabisa yaani niko gado............. hivi kuna sheria inayosema mjukuu ni lazima abakie kuwa mjukuu tu??Hahahaaaaaaa mi nilijua tu ulikua unatafuta sababu usherehekee peke yako na babu. Ngoja nimpigie simu bibi amkatalie babu kutoka leo.
Mzima lakini mama.
happy barthday to u babu