Wajukuu wa kiume wasumbufu babu na hivi unavyozeeka wanapigia tu mahesabu ng'ombe wako, ila sisi wa kike tunaomba sukari uko kwa waume zetu halafu tunakuletea wewe na bibi raha ilioje

Jukuuz za kiume huthubutu hata kuuza baiskeli yako mwenyewe...yanataka yairithi eti... ukichelewa kufa hayachelewi kukuua.
Jukuuz za kike zikishaolewa, zinagawana na babu wanavyopewa na waume zao.
Mi nashukuru Mungu kwa kunipa them geloz jukuuz

Ningependa kuchukua fursa hii na kusema kuwa miyaka inavyo zidi kuongezeka na capacity ya kunyuwa ze lager ina pungua.. Kwa hiyo nigependa kuku zawadia kinywaji kimoja kati ya hivi.