Pastor Achachanda
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 3,022
- 1,305
Yaani mtu anavaa nguo imeandikwa hivi ni kutojitombua au!!
Konda ana kitabu kina kabon hii imekaajeYaani mtu anavaa nguo imeandikwa hivi ni kutojitombua au!! View attachment 833969
Kumbe sio sisi tu hata huko uarabuni.
Ubunifu tu
Mchungaji,daladala imejaa hivyo unawezaje kupiga picha?
Yeye mwenyewe hana
Hapo issue ni hiyo rangi; kungara kwake si hoja!Yaani mtu anavaa nguo imeandikwa hivi ni kutojitombua au!! View attachment 833969
mbaya zaidi hata yeye hana.