Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 15,327
- 24,192
Mandela alipotakiwa kukubali masharti ya kuachiwa gerezani, alisema maneno ambayo sasa ni ya kihistoria.
Alisema " Only free men can negotiate!"
Sasa tunaona mambo yanayolingana na hayo, mh Rais Magufuli amewataka wafungwa wa rumande ,wengi ambao hawajui kesi zao zitasikilizwa lini, waji commit makosa ili waachiwe huru.
Leo gazeti la Tanzania Daima lina kichwa kikubwa kudai mfungwa maarufu sasa ndg Rugemalira kukataa "offer" ya kukubali kosa ili aachiwe huru.
Historia inajirudia?