DCI: Tumemchoka Mange

Hicho chama hakina jipya bali majanga tu.. 2020 wataisoma namba haswaaa. Naamini kampeni ya CCM itaenda shule kuwazidi wao.. wataishia tubmitandaoni kudanganyana na kuvuta wapenda kufata mikumbo bila kufikiria. Na haya wanatenda na kutendeana kisa kiki yameanza kubuma.. lazima wana yao na wengine wa upande wa pili.. hakuna linalojificha milele chini ya jua.. Magufuli akaze kamba wote tutawaona na matukio yao
 
Ukiunganisha Na tukio la kujifanya kapigwa risasi mwanasheria waooo
 
Mpaka Mashinji cha Kuongea anakopi kwa Mange
Ila sijui katibu huyu kapatikanaje maana hata ukifuatilia hotuba yake ya kuteuliwa kule MWANZA ni kituko kikubwa kwamba "nilikuwa nafanya operesheni za chini chini....hata DrUlimboka nilikuwa naye mpk anapata matatizo ...."

Sent using Jamii Forums mobile app
 
BASHITE JE??????
 
ccm kila siku wanashinda kwenye accounts za mange kwa ajili ya kuendesha serikali yao....HADI JESHI KA POLISI WANAANGALIA MANGE KASEMA NN.....
ccm wanategemea zaidi CHADEMA kuongoza nchi na wanachukua ajenda za chadema kwa KUKURUPUKA NA KUWASHWAWASHWA NDO MAANA ZINAWASHINDA.....
ccm WATZ wanaka viwanda hbr za chadem nyie endeleeni kusuka mipango ya kuwaua ndicho mnachoweza
 
Shogaangu wa uvccm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sidhani kama aliyepost ni mange ukiangalia content mazingira ya siasa yameshabirika
 
Kasinja jr mbona sio Bavicha pekee! Hata polisi mbona nao wamejikuta wanapelekeshwa na huyo dada? Usishangae msemaji wa serikali naye akaanza kujibizana nae.

Vv
 
Kasinja jr mbona sio Bavicha pekee! Hata polisi mbona nao wamejikuta wanapelekeshwa na huyo dada? Usishangae msemaji wa serikali naye akaanza kujibizana nae.

Vv
 
Tuipendeje?
Kwa kuwaua watanzania?
Kwani kinachoua ni tanzania au watanzania ?

je watanzania wote ni wauaji ?

je miongoni mwa watanzania hakuja wauaji ?


tuipende Tanzania yetu.

Upendo ni tiba.
 
Kasinja jr
Unadhani kwa nini DCI atoe tamko kuhusu maandishi ya Mange na si yako, Mwanakijij au hao unaodhani wana akili na wamesoma saaaana?
Unapodai Mange ni 'night escorter' una uhakika na hilo na lini uliondoka Chatto na kwenda Los Angeles ukamuona?
Umbeya peleka FB
 
Kasinja jr
Unadhani kwa nini DCI atoe tamko kuhusu maandishi ya Mange na si yako, Mwanakijij au hao unaodhani wana akili na wamesoma saaaana?
Unapodai Mange ni 'night escorter' una uhakika na hilo na lini uliondoka Chatto na kwenda Los Angeles ukamuona?
Umbeya peleka FB
 
Huyo Mange ndio ana wafanya Chadema waonekane wote wajinga wajinga na wapuuzi tuu...yani chadema nzima wanamtegemea Mange tena kwa uzushi....
kama ccm inamhara mpaka afisa mkubwa kabisa wa jeshi la polisi na yeye anaingia kwenye bendi ya CCM ya kumsujudu Mange kwa nini asiwe lulu kwa wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…