OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 52,035
- 114,473
Wakuu wa wilaya 10 na wakurugenzi 10 wamefutiwa vibali vya kwenda China katika mafunzo ya uchumi.Mafunzo hayo yalidhaminiwa na China.Aidha imeelezwa kuwa katazo hilo linafuatia uteuzi wa DCs na Wakurugenzi utakaotangazwa mda wowote.Tetesi zinaeleza kuwa uteuzi utatangazwa leo.