DC Mwanga amtupa mahabasu DED saa 24

DC Mwanga amtupa mahabasu DED saa 24

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
24,150
Reaction score
56,463
Mkuu wa Wilaya ya Mwanga, Aron Mbogho ameamuru kuwekwa mahabusu kwa saa 24, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya hiyo (DED), Zefrin Lubuva akimtuhumu kufanya makosa mbalimbali.

Mbali na Lubuva, adhabu hiyo imemkumba pia kaimu mtendaji wa Mamlaka ya Mji Mdogo wa Mwanga, Justine Valentino.
 
Safi sana.
 
ili tupate kuelewana vizuri, DED mteule wa rais, DC mteule wa rais, si wanasemaga DED huwa ni.lazima awe mwana CCM na DC pia, ila DED ana sifa ya nyongeza tiss.ccm
 
Back
Top Bottom