Malipo ni duniani, tatizo michepuko inajisahaulisha hii kanuni "usimzalie mume wa mtu"
Kwa mkewe akimbie mikojo, akija kwako tena akutane na mikojo...atakukimbia tu, huna uspesho huo!
Halafu mama mijengo tumekaa kikao tumeazimia kuwa hata wachepuke hatuondokii...
Evelyn Salt