DC Msando atinga kanisani wanaposali waumini wa Gwajima

DC Msando atinga kanisani wanaposali waumini wa Gwajima

Parabolic

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2013
Posts
2,743
Reaction score
2,601

Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Albert Msando amefika kusali pamoja na waumini wa kanisa la Glory of Christ (Ufufuo na Uzima) wanaosali katika ukumbi wa Tanzanite jijini Dar es Salaam.

Awali kabla hajafika Naibu Katibu mkuu wa Kanisa hilo, Maximilian Machumu maarufu Askofu Mwanamapinduzi, aliwauliza waumini kama DC Msando kama amefika kwenye ibada yao, baada ya kiongozi huyo kuahidi kufika katika ibada hiyo wiki iliyopita.
 
View attachment 3412116
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Albert Msando amefika kusali pamoja na waumini wa kanisa la Glory of Christ (Ufufuo na Uzima) wanaosali katika ukumbi wa Tanzanite jijini Dar es Salaam.

View attachment 3412114
Awali kabla hajafika Naibu Katibu mkuu wa Kanisa hilo, Maximilian Machumu maarufu Askofu Mwanamapinduzi, aliwauliza waumini kama DC Msando kama amefika kwenye ibada yao, baada ya kiongozi huyo kuahidi kufika katika ibada hiyo wiki iliyopita.
Kiko wapi sasa ujinga wa maCCM
 
CCM ni pendwapendwa, akiwa hayupo unanuna, akifika unajichekesha, kama kuna kizizi Nyerere alikiweka siku ya kuanzishwa kwa CCM, basi kilichipombwa kwa masega ya asali..

Unaweza kukuta kamati kuu ya chadema wote huwa wanapigia kura CCM
 
yaani hao waliokuja kwenye ukumbi, ni wachache tu wasio na hofu. maelfu na maelfu ambao wanaogopa kupigwa virungu, na ambao waliumizwa ndugu zao wakawakataza wasije, ni wengi sana, wamezuiwa kuabudu, wanahangaika, awali walikua najengo, sasaivi wanahangaika wakikodi kumbi wakati jengo wanalo. hii dhambi atakayeamua ni Mungu peke yake.
 
CCM ni pendwapendwa, akiwa hayupo unanuna, akifika unajichekesha, kama kuna kizizi Nyerere alikiweka siku ya kuanzishwa kwa CCM, basi kilichipombwa kwa masega ya asali..

Unaweza kukuta kamati kuu ya chadema wote huwa wanapigia kura CCM
samia sasa ajue kumbe anapambana na watoto wake mwenyewe, aliowafungia kanisa wengi ni wanaccm hao hao, hata askofu wao ni ccm.
 
naogopa msando wasije wakamfukuza ukuu wa mkoa kwa sababu ameenda kusali wasipopataka. itakuwa ajabu sana. halafu msando sijui na yeye amekuja kutafuta nini, alikuwa wakili mzuri na alikuwa anapata pesa nyingi pale ze don kuliko huko kwenye sasa. kweli msando ndo wa kulipwa mshahara na kusaliti wananchi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom