Mkuu umedhania sivyo kila kitu au na wewe ndie uliyempa hiyo Degree.... Kilaza huyo? tusiongee sana swala lipo mahakamaniKama wewe sio mrisho gamba mwenyewe utakuwa kuwadi wake
Kutumia silaha hasa mambo ya ujambaziMbona tuliambiwa sabaya ndio wa kwanza
Huyu kumbe tangu mwaka 2012 alikuwa mkuu wa wilaya enzi za JK halafu akapandishwa cheo kuwa mkuu wa mkoa wa Arusha naonesha kejeli kwa JPM?MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi wilaya ya Korogwe leo (jana) imemkataa Mwanasheria Mkuu wa Serikali kumwakilisha Mkuu wa wilaya ya Korogwe, Mrisho Gambo katika kesi ya madai ya sh.Milioni 96 dhidi yake.
Katika kesi hiyo Na. 7/ 2012 mlalamikaji ni Mwanasheria wa halmashauri ya Mji Korogwe, Najum Tekka anayedai kukashifiwa na Gambo wakati wa kikao cha Kamati ya Ulinzi na Usalama wilaya kwamba stashahada ya Sheria aliyopata mtumishi huyo niya chupi.
Awali ilidaiwa kwamba mkuu huyo alimwalika mlalamikaji kutoa ushauri wa kisheria kuhusu namna ya kumaliza mgogoro baina ya halmashauri ya mji na wafanyabiashara na kwamba baada ya kufanya hivyo mlalamikiwa alipinga ushauri uliotolewa na kIsha kutoa kauli hiyo kwamba shahada yake ni ya chupi.
Mbele ya Hakimu Mkazi wa mahakama hiyo, Hamis Salum mlalamikaji huyo aliiomba mahakama imwondoe mwanasheria mkuu wa serikali ambaye aliwakilishwa mahakamani hapo na Wakili wa Serikali, Rebecca Msalangi kwakuwa hana mamlaka katika madai hayo na kamwe ofisi yake haikuwahi kupeleka ombi maalum la kutaka kumwakilisha Gambo kwenye shauri hilo.
Kwa upande wake Hakimu Mkazi akisoma uamuzi mdogo wa mahakama kuhusiana na mabishano hayo alikiri kwamba utaratibu haukufutwa na kamwe hapakuwa na ombi la mwanasheria mkuu wa serikali kutaka kumwakilisha Gambo kwenye madai hayo. Kesi hiyo imeahirishwa hadi Novemba 14 mwaka
Source: Wavuti
Hizi ni takataka za CCM mkuuKuna watu hawakustahili hata kuomba nafasi ya kuzungumza bungeni. Leo hii naye anajidai kujua haki za watu na kuleta msg whatsapp!
Huyu kumbe tangu mwaka 2012 alikuwa mkuu wa wilaya enzi za JK halafu akapandishwa cheo kuwa mkuu wa mkoa wa Arusha naonesha kejeli kwa JPM?
Hana maadili ya kiuongozi kwa kitendo tu cha kufikishwa mahakamani akishitakiwa kumkashifu afisa mwingine wa serikali.
HAFAI Arusha mmesikia hiyo? Msirudie makosa mrejesheni Lema haraka kwa sasa mna msaka tonge mdomoni hakuna mwakilishi wa ukweli hapo
Kumbe udhalilishaji walianza siku nyingi 😁😁MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi wilaya ya Korogwe leo (jana) imemkataa Mwanasheria Mkuu wa Serikali kumwakilisha Mkuu wa wilaya ya Korogwe, Mrisho Gambo katika kesi ya madai ya sh.Milioni 96 dhidi yake.