Just Pray
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,142
- 4,779
Mkuu wa wiyala ya Ilala Edward Mpogolo amemshukuru Rais Dkt. Samia kwa kuendelea kutoa pesa Halmashauri ya Ilala na kuweza kutekeleza Miradi mbali Mbali katika wilaya hiyo
Mpogolo amesema katika kipindi cha miaka 4 ya Rais Dkt. Samia zaidi ya Bilioni 317 zimetolewa kwenye wilaya ya Ilala na kutumika kwenye Miradi mbali mbali ya maendeleo
Mpogolo amesisitiza fedha zilizopokewa ni nyingi na zinaonyesha matokeo chanya katika miradi ya maendeleo kwa wananchi wilayani Ilala.
Pia soma Pre GE2025 Miradi kuelekea Uchaguzi Mkuu: Mhandisi Kundo akagua mradi wa maji unaonufaisha zaidi ya wakazi 200,000 Chalinze
Aidha Mkuu huyo wa wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo ameeleza kutokana na kazi kubwa aliyofanya Rais wa Tanzania Dokta Samia Suluhu Hassan kuna kila sababu ya kumpa kura za kutosha katika uchaguzi wa mwezi wa kumi mwaka huu.