DC Mnyeti: Nilichangia mchango wa harusi diwani aliyehamia CCM kama ambavyo nimekuwa nikiwasaidia madiwani wengi CHADEMA

Quinine mkuu kama hautojari ebu weka na ile clip ya Magufuli akiwaita RC na wenzie wapumbavu ahahaha...siasa za Bongo ukiwa huna upande ni tamu sana kuziangalia!
 
Hawa wahuni na mafisadi wa chama cha wauaji wanatumia ajira za Serikali ambazo zinatokana na kodi za walipa kodi kuhonga ili kujionyesha kinapendwa sana kumbe sivyo kabisa!

Jibuni hoja kusema tu ni wanafiki haisaidii, watu wameshajua kumbe ofisi za umma zinatumika vibaya na watu tuliowaamini.
 
Siasa za tz ni malumbano kuwa hakuna vitu vya msingi vya kufanya ili kililetea maendeleo taifa hili nyinyi kila uchwao ni majungu tu aaa tumechoka badilikeni
Huwezi kuzungumzia maendeleo katika mazingira yaliyopo sasa.

Ikiwa DED ambae ana jukumu la kusimamia shughuli za maendeleo kwenye halmashauri, anaapa kutofanya hivyo kwenye kata ambazo madiwani wake wanatokana na CHADEMA....maendeleo yatatoka wapi hapo!?
 
Huwezi kuzungumzia maendeleo katika mazingira yaliyopo sasa.

Ikiwa DED ambae ana jukumu la kusimamia shughuli za maendeleo kwenye halmashauri, anaapa kutofanya hivyo kwenye kata ambazo madiwani wake wanatokana na CHADEMA....maendeleo yatatoka wapi hapo!?

Leo umepata akili kweli Hongera
 
Hivi chadema kuna strategist? Au kila mtu anaweza amka asubuhi na kuanza kutekeleza ndoto yake kwa niaba ya chama?

Je inawezekana Lissu aliwafunika hawa vijana kisiasa sasa Lissu yupo ICU ndio wanachukua nafasi kutupa kete zao kisiasa ?
Chadema, ni wajinga sasa huyu Nasari ataboa siri namna walivyonasa hizo taarifa, hafai ata kuwa na cheo chochote maana hapa kajitafutia kufuatiliwa na wasiojulikana ba ajue ni makosa kuingilia mawasiliano ya mtu.
 
Sasa kama alimchangia Nassary alipomuomba mbona Nassary hakuhama ili kumuunga mkono rais? Anajifanya kwamba aliombwa kumchangia Lissu, atoe ushahidi kama alimchangia. Halafu hao madiwani wote aliwachangia michango ya harusi?
Hahahahahahah kwa maana kwamba madiwani wote walikuwa hawajaoa wamekuja kuoa juzi kati! Uongo mwingine DC kha!
 
Du! Hongera Dc, mchamgo wa harusi ndo unamuahidi na kazi? na kwamba m 2 haitoshi uko tayari kuongeza akikuandikia barua? Kwa nn unakua km mtoto? You better resign kujenga heshima ili kumjengea present heahima.
 
Hakuna wananchi wengine,au madiwani wa ccm,wanao owa na kuolewa Arumeru,au popote penginepo,wanaohitaji mchango wa myeti,mpaka wakioa madiwani wa arumeru tu,tena wa chadema tu,ndo dc wa ccm anaonyesha upendo sana kwa wapinzani hao nakuwapa mchango ?
Huyu dc kauli mbiu ya magufuli ya kumuona hata mpinzani gerezani (Lema)haikumfikia,kwamba kusogelea wapinzani ni usaliti ???
Huyu alikua ananunua madiwani wa chadema tu ,sio vinginevyo ! Kwa hali ilivyo nchini sasa hivi,hakuna ccm yeyote anayeshirikiana na mpinzani yeyote kama sio kwa maslahi ya chama Chao, (ccm).asante sana Nasari,hako kakitu kapeleke bagamoyo,kawaone waganga ambayo bashite anatumwa kufanya dawa za ikulu.Mungu asante sana kwakua nilikuomba ccm wapate aibu yakutosha juu ya uso wa nchi na umekua ukitenda Mara kadhaa.naomba Mungu wangu,wafikie mpaka kutamka kwa vinywa vyao,majina ya waliowauwa,na wauwaji waliowatumia,kutamka kura za Lowasa walizoiba,na wakutubie ktk ardhi ya nchi kwamba magufuli sio MASIHI,na kwamba walifanya kosa kubwa mno,kumfananisha mwanadamu na Wewe kwa kukufuru kulikopitiliza,na wala sio vinginevyo,Amen.
 
DC ARUMERU MHE. MNYETI AJIBU MAPIGO YA NASSARI NA LEMA Dc Mnyeti: "

Video zote anazosambaza Nassari ni za mikutano yangu nikiwa Kwenye shughuli za maendeleo za Wilaya, anababaisha wasiojitambua"

DC ARUMERU: "Video zote anazosambaza Nassari ni za mikutano yangu nikiwa Kwenye shughuli za maendeleo za Wilaya,upinzani huu umekosa dira"

DC MNYETI: "Nilimchangia mchango wa harusi diwani aliyehamia CCM kama ambavyo nimekuwa nikiwasaidia madiwani wengi waliopo CHADEMA akiwemo Nassari"

DC MNYETI ARUMERU: "Nassari aweke pia video ambazo tumekaa nae akinieleza matatizo ya jimboni kwake."

DC ARUMERU: "Watumishi kumchangia harusi Diwani ndiyo rushwa wanayosema Chadema. Ila nilipoombwa kuchangia matibabu ya Lissu haikuwa rushwa"

Credit: DarMpya
Shughuli za maendelei ndio unasema utampa 2m na kumwambia akaandike barua. Shughuli za maendeleo ndio unamwambia hata akikupigia saa moja usiku mkutane myamalize. Shughuli za maendeleo ndio unamwambia umwongezee pesa. Wadanganye ccm wenzio na huyo bosi wako anayewapa pesa za wananchi kununua wananchi ili waipende ccm. Mnagawa watanzania yaani wasukuma mnaleta ukabila Tanzania. Kikwete tunakulaumu sana kwa kutuletea mkabila laana hii haitakuacha salama umearibu mazuri yako yote
 
Back
Top Bottom