denoo49
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 6,114
- 6,940
Ni za 2008 alikuwa bado hajawa rais wa wilaya. Au wewe unasemaje?Rais Nixon aliweka tapes kwenye ofisi yake na kwenye ukumbi wa Watergate, ilipojajulikana iksbidi awe impeached akaacha kazi. Hizi tape ziliwekwa na nsni kwa ruhusa ya nani? Mkuu wa Wilaya hutembelewa na Rais na viongozi wengi nyeti kwa vile ni Mwenyekiti wa Kamati ys Ulinzi na Usalama; hivyo lazima kuna siri nyingi za nchi hii zimepelekwa Kenya na kwingineko. Lema na Nassari washitakiwe kwa ujasusi na kwa uhaini.