GHIBUU
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 4,432
- 3,016
Na akomeeeeeeeeeeeeee!!!!!! Wiwiwiwiwiiwiwiwiii. Na apigweeeeeeeeeeeeeee.
Igweeeee
Na akomeeeeeeeeeeeeee!!!!!! Wiwiwiwiwiiwiwiwiii. Na apigweeeeeeeeeeeeeee.
Hili pia linatoa fundisho fulani kuwa cheo ni dhamana na nguvu ya umma ndo nguvu kuu kuliko zote. Haipaswi kufurahia hali kama hii ila viongozi wana jambo la kujifunza. Mifano ipo mingi kama Sadam Hussein, Gadaff na wengineo ambao hawakuwahi kuwaza au kufikiria kuna siku wangeishi kwenye mitaro kama fuko kutokana na nguvu ya umma. Lakini siku ya siku walijikuta kwenye dhahama hiyo. Jambo la msingi kama viongozi waelewe madaraka ni dhamana tu wanapewa na wenye dhamana hiyo ni wananchi (umma). Ifike mahali tuwe na utashi wa kushughulikia/kutatua matatizo mapema kuliko kusubiri kuaibika namna hii.
ona jinga hili chadema ndio waliowaambia tochi hakuna hakuna kusoma madai yenu tutayatimiza tutakutana tena tuzungumze tena mbona hawakwenda tena?
Ni moja kati ya mpango mkakati wa CDM......
Nani asiyejua kuwa mgomo wa madereva umekuwa engineered na CDM....... !!!
Mkuu ukikutana na jamaa anayefikiria kidogo utajiona mjinga.
Atakuuliza, kwa hiyo na mgomo wa wafanya biashara kuhusu mashine za kieletronics nao ni chadema wamesababisha?!; mgomo wa madaktari nao ni chadema?, walimu nao ni chadema?! Na kila mgogoro chadema wanahusika?!
Kwa hiyo chadema huisimamisha serikali mara kwa mara?! Kuna haja gani ya kuwa na hiyo serikali sasa ambayo inatetemeshwa na chadema jk aliyiwahi kuita haimnyimi usingizi?!
Utajigundua wewe lafa..
Huyu makonda si ndiyo mtukanaji na mpigaji wazee?