DC Makonda hapa nini kilikusibu

DC Makonda hapa nini kilikusibu

attachment.php
 
siyo wanaume wote ni wanaume.


Hakika kwa kweli, mwanaume aliyepewa jukumu lakuangalia usalama wa Tz mil kadhaa wa wilaya ya kinondoni hawezi kujificha kama kitoto kichanga mgongoni mwa mama yake, loh!!!!! naendelea kucheka tu mimi.
 
Hakika kwa kweli, mwanaume aliyepewa jukumu lakuangalia usalama wa Tz mil kadhaa wa wilaya ya kinondoni hawezi kujificha kama kitoto kichanga mgongoni mwa mama yake, loh!!!!! naendelea kucheka tu mimi.
hali ilikuwa ngumu aliogopa kuziacha allowance akaona bora fedheha kuliko kipigo
 
Kumbe Pinda alishasoma alama za nyakati ndiyo maana hakutokea UBT, Konda bila kujua akapeleka mdhu..ti wake kichwakichwa wangemuulia pale
Alafu kuna baadhi ya wanahabari wameamua kuipa 'bold' hii issue na kusema kuwa ndiye kamaliza mgomo lakini hii picha ukiilinganisha na ya Mh. Mbowe unapata jibu ambalo kimsingi ni jepesi!

 
Ona usivyokuwa na akili....... Unadhani angepigwa kisu ndo shida zao zingetatuliwa????
Uwe na upeo inaelekea huna upeo kabisa wewe na sidhani kwa mawazo yako kama haya unaweza kuendesha hata familia yako.......ujinga kabisa wewe unashabikia siasa za kijinga huna hata chembe ya ushahidi kuwa alimpiga mzee warioba na hata kwenye mdahalo hukuwepo ila ujinga ujinga ujinga tu ndo unawaza,tuliofuatilia mdahalo tunajua kilichotokea.......
chogobilo ccm damu damu hata kwa mambo yaliyo wazi kwa banadamu wooote wa dunia hii!! shame on you! p-- mbavu zako, hata kama unaneemeka wewe na ukoo wako sio lazima ujitoe akili kiasi hiki, kula kimyakimya utaendelea kuwa salama, vinginevyo ipo siku na haiko mbali tutaonana wabaya.Bahati yako dini yangu hairuhusu kulipiza kisasi, ungeisoma!!!!!
 
Hii adhabu wananchi wakiamua kufanya mimi niliwahi kusema nguvu ya umma ikiamua kufanya jambo hakuna mwenye uwezo wa kuzuia haya sasa mmeona jana jinsi Dc Makonda alivyodhalilishwa hii inaonyesha kiasi gani wananchi wameichoka serikali ya ccm.
 
nilishasema,"wanapanda upepo ila watavuna tufani" hapo ni trela tu,bado picha lenyewe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom