DC Makonda hapa nini kilikusibu

DC Makonda hapa nini kilikusibu

ukisikia mjusi kabanwa na mlango ndo hiki cha cha wenye kuipindua nchi

Hili pia linatoa fundisho fulani kuwa cheo ni dhamana na nguvu ya umma ndo nguvu kuu kuliko zote. Haipaswi kufurahia hali kama hii ila viongozi wana jambo la kujifunza. Mifano ipo mingi kama Sadam Hussein, Gadaff na wengineo ambao hawakuwahi kuwaza au kufikiria kuna siku wangeishi kwenye mitaro kama fuko kutokana na nguvu ya umma. Lakini siku ya siku walijikuta kwenye dhahama hiyo. Jambo la msingi kama viongozi waelewe madaraka ni dhamana tu wanapewa na wenye dhamana hiyo ni wananchi (umma). Ifike mahali tuwe na utashi wa kushughulikia/kutatua matatizo mapema kuliko kusubiri kuaibika namna hii.
 
Ona usivyokuwa na akili....... Unadhani angepigwa kisu ndo shida zao zingetatuliwa????
Uwe na upeo inaelekea huna upeo kabisa wewe na sidhani kwa mawazo yako kama haya unaweza kuendesha hata familia yako.......ujinga kabisa wewe unashabikia siasa za kijinga huna hata chembe ya ushahidi kuwa alimpiga mzee warioba na hata kwenye mdahalo hukuwepo ila ujinga ujinga ujinga tu ndo unawaza,tuliofuatilia mdahalo tunajua kilichotokea.......
wewe ulikuwepo kwenye mdahalo wa JAJI? au ndo kujipendekeza... utagegedwa weyee
 
Dogo baada ya kumaliza kuongea jukwaani akakimbia na miki ili Mbowe asiitumie ndio vijana wa redbrigade walipo taka kumfinya mkuu wa wilaya aliye soma chuo kikuu kwa miaka 5 akisotea degree moja.
 
Bahati Yake Mbowe alimnusuru,angechafuka damu. Bado ccm wanafikiri wana akili kuliko Wa Tz. Hii cha Mtoto fainali October.
sasa ndo wajipange kupokea majibu ya wanawanchi hii
 
Dogo baada ya kumaliza kuongea jukwaani akakimbia na miki ili Mbowe asiitumie ndio vijana wa redbrigade walipo taka kumfinya mkuu wa wilaya aliye soma chuo kikuu kwa miaka 5 akisotea degree moja.

Nani asiyejua kuwa mgomo wa madereva umekuwa engineered na CDM....... !!!
 
Ha ha ha haaaaaaaaa, hu hu hu hu hu huuuuuuuuuu, anavochungulia sasa ha ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaaa
 
Wenye picha ya Kamamda Mbowe wakati akiingia ubungo aambatanishe na picha hii ya makonde ndiyo tutaelewa zaidi.
 
kwa mtazamo wangu ni kwamba mmechokwa,mnakinai na hamfai tena!

View attachment 249512
Hii ni fedheha kwa DC mzima kuchuchumaa nyuma ya askari polisi, kuna taarifa kuwa alipopolewa mawe na kulazimika kujificha nyuma ya gari.

Mara alipoteuliwa na rais kuwa DC nilitoa angalizo ajitahidi kuwa mwangalifu vinginevyo safari yake ya uongozi itakuwa ngumu.
 
Tupia na ile ya kamanda wa anga akiingia au akitoka ubungo ili tuheshimiane.
 
Nani asiyejua kuwa mgomo wa madereva umekuwa engineered na CDM....... !!!

ona jinga hili chadema ndio waliowaambia tochi hakuna hakuna kusoma madai yenu tutayatimiza tutakutana tena tuzungumze tena mbona hawakwenda tena?
 
Wenye picha ya Kamamda Mbowe wakati akiingia ubungo aambatanishe na picha hii ya makonde ndiyo tutaelewa zaidi.

Yeye alipokewa kama mfalme kwani watamzania wana matumaini na uongozi wa upinzani hapa nchini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom