babumapunda
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,644
- 3,314
....picha
Alikuwa anamsubiri Mbowe afike ili atoke hapo mafichoni lasivyo angechafuka damu....picha
Nenda kamlaumu mumeo ambaye ni dereva wa daladala za huko MbagalaNa wanapoua ndugu zenu barabarani Chadema endeeeleni kuwaunga mkono hivyo hivyo.
Punguza jazba mkuu.Wangelipiga hata kisu jinga hilo, wange mfanya kama yeye alivyo mfanya warioba
Nenda kamlaumu mumeo ambaye ni dereva wa daladala za huko Mbagala
....picha
Wangelipiga hata kisu jinga hilo, wange mfanya kama yeye alivyo mfanya warioba
Ona usivyokuwa na akili....... Unadhani angepigwa kisu ndo shida zao zingetatuliwa????
Uwe na upeo inaelekea huna upeo kabisa wewe na sidhani kwa mawazo yako kama haya unaweza kuendesha hata familia yako.......ujinga kabisa wewe unashabikia siasa za kijinga huna hata chembe ya ushahidi kuwa alimpiga mzee warioba na hata kwenye mdahalo hukuwepo ila ujinga ujinga ujinga tu ndo unawaza,tuliofuatilia mdahalo tunajua kilichotokea.......
....picha