Asije akanyooshwa yeye tu, literally.DC namba 1 duniani inatajwa kuwa atajamishiwa Ngorongoro ili kunyoosha wakaidi huko
Anakwenda kuwa DC wa nani huku hiyo wilaya imefutwaDC namba 1 duniani inatajwa kuwa atajamishiwa Ngorongoro ili kunyoosha wakaidi huko
Achana na huyo bwegeAnakwenda kuwa DC wa nani huku hiyo wilaya imefutwa
Dc wa kimataifa siyo mchepe mchepeDC namba 1 duniani inatajwa kuwa atajamishiwa Ngorongoro ili kunyoosha wakaidi huko
Mkuu wa Wilaya ya wasiokuwepo kuwalazimisha watoke kwenye Ardhi ya Babu zaoAiseeh! Sasa Wilaya imefutwa anaenda kuwa mkuu wa Wilaya ya wapi?
Wewe Mkude mfano Wewe waje hawa Jamaa kesho wakwambue uhame hapo kwenye hio Milima ya Urugulu utawaelewa au utakuza fuvu na ukihama unahamahama Vipi?Masai dawa ipo jikoni
Kasome msimamizi wa ardhi ya Tanzania ni nani? Wengine wote mnapangishwa (lease) kwa Miaka kadhaa, 33, 99.Wewe Mkude mfano Wewe waje hawa Jamaa kesho wakwambue uhame hapo kwenye hio Milima ya Urugulu utawaelewa au utakuza fuvu na ukihama unahamahama Vipi?
Ardhi ni ya watanzania wote yule sio yake yeye ni msimamizi TU wa rasilimali ndio mnavyofundishana huo ujinga huko Shule ya Msingi kwamba Ardhi yooote ya Tanzania mmiliki ni yeye?Kasome mmiliki wa ardhi ya Tanzania ni nani? Wengine wote mnapangishwa (lease) kwa Miaka kadhaa, 33, 99.
Hadi kibyongo kukaa sawa.Asije akanyooshwa yeye tu, literary.
Rais Samia huwa hateui Wapumbavu Ok?Mleta mada si ndio Magoti mwenyewe hapa anajipigia promo tu.
Ila kwanini wasimpe Lucas Mwashambwa?