DOKEZO DC Magembe (Geita) ni muongo, anastahili kuchunguzwa na mamlaka

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Umefanya jambo jema sana kuweka ushahidi huo wa kinyaraka maana mimi mwenyewe niliona ni kama kuna jambo halijakaa sawa ,maana isingewezekana DED asafiri tu kienyeji.
CCM kupo shwari, naikumbuka hii kauli yako.

DC ni CHADEMA huyo, hayupo shwari
 
Mkurugenzi aende pale Bukoli kuna Mzee mmoja wa Kisumbwa atamrekebisha DC ndani ya muda mfupi.

Wasumbwa wanaijua Mizizi mwitu.👹
Unadhani mkurugenzi kakaa kiboya?ukute hata hiyo safari ya china kaenda Kwa Shaolin monks kuongeza nguvu
 
Sasa kwanini hajampa taarifa dc wake kama huko kote ametoa taarifa
 
Huyu jamaa ana akili sana tena sana. Mungu amlinde. Anafaa kuwa kiongozi mkubwa zaidi wa maamuzi
 
Wala DC Hakusema hana vibali , bali ametaka Takukuru wachunguze kama ziara hizo zina tija yoyote .
 
Ugomvi wa Ndugu huo, hio NDIO picha halisi ya miccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…