Marry Ngowi
JF-Expert Member
- Sep 6, 2013
- 262
- 293
Ni Mbunge wa CCM aliyeupata kwenye Uchafuzi wa mwaka huu zingekuwa zimo angepeleka Muswada Bungeni kubadili au kufuta Sheria husika lakini hata akiwa Mkuu wa Mkoa alikuwa na kichwa hichohicho kitupu.hamna kitu hapo.
huyo gambo ni empty headed ndiyo maana anatoa hoja za kipuuzi.
Zipo pikipiki za miguu 3 zinabeba zaidi ya watatu wanunue hizoGambo ana hoja kubwa jamaa anaishi kwa kuangalia reality , watu maskini waishi kimaskini huyu ni Genius!! ukiangalia kwa makini utaona logic ya bajaj na bodaboda kubeba watu wanne versus usalama wao!!
ameangalia watu wengi ni masikini wakichanga nauli wanapata usafiri badala ya kutembea kwa miguu umbali mrefu kupoteza muda ambao ni mali na pia vyombo vya usafiri ni vichache! watu wanne bodaboda moja na wote wavae helmet mwendo mwisho spidi 30 kwangu poa tu na barabara ziwekwe sehemu maalum ya kupita boda boda na bajajs
sisi ni maskini tuishi kimaskini
hoja yake ni sahihi for me!! for me Gambo is very creative person Mkuu wa nchi amchukue kundini!
Arusha wameshamsahau kamanda Lema!hamna kitu hapo.
huyo gambo ni empty headed ndiyo maana anatoa hoja za kipuuzi.
haya.Arusha wameshamsahau kamanda Lema!
ahahahaaaaHaya sasa kijani dhidi ya kijani
Nalog off
Nje ya boksi,umepotea sana da mkubwaGambo analeta siasa za kipuuzi kutetea ukiukwaji wa sheria.
Anahatarisha maisha ya wengi kwa ajili ya manufaa yake binafsi, ujinga mtupu!
Hao ni majembe ya Zanzimana empty head tabulalasa kiwango cha lami . Like father like son .Wapumbavu wawili wamekutana hapo ni pipa na mfuniko,faivu mooo
Mh. Suleiman Bungala aka Bwege alisema hata mkibakia ninyi wenyewe katika kundi moja mtaanza kugeukana...(kusongolana...in bweges voice)Mshaanza kukaangana wenyewe
Gambo hana meno tena! Hako ka DC kakiamua kanamsweka ndani pumbavuuu!Huyu Dc leo anamvimbia Gambo
Wanachezea exost aaaaaaammmmm😋😋😋😋😋Hao madereva boda wanaochezea sijui ekzost wachukuliwe hatua maana ni kero na usumbufu mkubwa kwa raia