DC Kigamboni: Serikali ya Tanzania haina askari wazembe kiasi cha kufyatua risasi zaidi ya 30 halafu wakashindwa kumuuwa Lissu

Mh! naona kuna maagizo yameshatoka kila mtu kwa kadri ya nafasi yake lazima aweke kipambio cha kumjibu TL.
Lakini wale waliorusha ikaenda juu ikakata kona ikaenda upande kisha ikarudi ikatoboa bodi ya daladala na kumuua binti wa watu wako wapi? Walikua askari wa nchi gani?
 
Vyeo vya ch*p* hivi ni shida leteni namba tukakasugue nyapu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kwa nini madc Siku hizi ni watu ambao hawana kitu kichwani!!....nonsense!
 
Atuambue ni askari gani hao wazembe.
 
kila mtu sasa ni msemaji wa Serikali; kweli ngoma ya Lissu imeshanoga hii kila mtu anacheza kwa style yake.
 
Mwambieni ajiulize wale CIA walijaribu mara ngapi kumuua Fidel Castro hadi alipo jifia mwenyewe kwa kudra za mwenyezi Mungu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…